-
Wapinzani wanaozuiliwa Saudia waanza mgomo wa kula
Feb 19, 2019 12:15Shirika la kutetea haki za wafungwa la Prisoners of Conscience limetangaza kuwa, idadi kubwa ya wapinzani wanaozuiliwa katika jela za kuogofya za Saudi Arabia wameanza mgomo wa kula, kulalamikia hali ngumu na mateso wanayopitia wakiwa kizuizini.
-
Watoto 30 wanaoshikiliwa na utawala wa Bahrain wadhuriwa na chakula kilichoharibika
Oct 18, 2018 04:24Duru za habari nchini Bahrain zimeripoti kwamba utawala wa Aal-Khalifa umewapa chakula kilichoharibika watoto 30 unaowashikilia katika jela huku wasimamizi wake wakikataa kuwapeleka hospitali kwa ajili ya kuwapatia matibabu.
-
Israel yaazimia kuwabana zaidi wafungwa wa Kipalestina
Oct 12, 2018 04:12Utawala wa Kizayuni wa Israel unatazamiwa kushadidisha mateso na kuwawekea mbinyo zaidi wafungwa wa Kipalestina unaowazuilia katika jela zake za kuogofya.
-
Wafungwa wazusha ghasia Sudan Kusini, waiba silaha
Oct 07, 2018 04:13Hali ya taharuki imetanda katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya mamia ya wafungwa katika gereza moja kuvunja ghala la silaha na kukabiliana na walinzi.
-
'Saudia inawashikilia wanaharakati 2,500 wa upinzani'
Sep 16, 2018 21:51Shirika la kutetea haki za wafungwa la Prisoners of Conscience limesema kuwa, watawala wa Saudi Arabia wanawazuilia wanaharakati zaidi ya 2,500 wa upinzani, wakiwemo wanazuoni wa Kiislamu na waandishi wa habari.
-
Sisitizo la Jumuiya ya al-Wifaq juu ya kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa, Bahrain
Aug 19, 2018 23:24Kuendelea siasa za utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa hususan katika kuwashikilia jela wanaharakati wa kisiasa na viongozi wa mwamko wa wananchi, kumeibua malalamiko makubwa miongoni mwa raia wa Bahrain.
-
Amnesty International yamjia juu Rais Magufuli kwa kuwadhalilisha wafungwa wa Tanzania
Jul 17, 2018 03:01Shirikisha la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limemkosoa vikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutaka wafungwa nchini humo kufanyishwa kazi usiku na mchana na kupigwa mijeledi wakiwa wavivu.
-
Ethiopia kuwasamehe mamia ya watu waliohukumiwa kwa makosa ya ugaidi
Jun 15, 2018 23:34Serikali ya Ethiopia imesema kuwa itawafutia mashtaka zaidi ya wafungwa 304 wakiwemo 289 wanaotumikia vifungo vya makosa ya ugaidi.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na muamala mbaya dhidi ya wafungwa nchini Libya
Apr 11, 2018 08:16Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makundi yanayobeba silaha nchini Libya yanawatesa na kuwaua wafungwa wanaoshikiliwa kwenye jela ambazo kidhahiri ziko chini ya udhibiti wa serikali ya nchi hiyo.
-
Sudan yawaachilia huru wafungwa wote wa kisiasa
Feb 19, 2018 04:24Serikali ya Sudan imewaachilia huru wafungwa wote wa kisiasa kufuatia msamaha uliotolewa na Rais wa nchi hiyo Omar Hassan al-Bashir.