Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wahajiri

  • Libya yawarejesha nyumbani wahajiri haramu 142 wa Guinea

    Libya yawarejesha nyumbani wahajiri haramu 142 wa Guinea

    Dec 28, 2017 04:23

    Libya imewarejesha nchini kwao wahajiri haramu wapatao 142 raia wa Guinea, ikiwa ni katika jitihada za kupunguza msongamano wa wahamiaji haramu wanaozuiliwa katika vituo mbali mbali nchini humo.

  • Gadi ya Pwani nchini Italia yaokoa mamia ya wahajiri katika bahari ya Mediterranea

    Gadi ya Pwani nchini Italia yaokoa mamia ya wahajiri katika bahari ya Mediterranea

    Dec 27, 2017 03:53

    Askari wa Gadi ya Pwani ya Italia wametangaza habari ya kuwaokoa wahajiri 250 katika bahari ya Mediterranea.

  • UN yafikia uamuzi wa kuwaondoa wahajiri nchini Libya

    UN yafikia uamuzi wa kuwaondoa wahajiri nchini Libya

    Dec 20, 2017 12:46

    Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema kuwa umoja huo umefikia uamuzi wa kuwaondoa wahajiri nchini Libya na kuwapeleka katika nchi ya tatu.

  • Amnesty yasema EU inashiriki katika kuteswa wahajiri Libya

    Amnesty yasema EU inashiriki katika kuteswa wahajiri Libya

    Dec 12, 2017 04:45

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limezituhumu nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuwa zinashiriki katika kuteswa, kukandamizwa na kudhalilishwa wahajiri wanaozuiliwa nchini Libya.

  • AU yafanya kikao cha kuzungumzia hali ya wakimbizi nchini Libya

    AU yafanya kikao cha kuzungumzia hali ya wakimbizi nchini Libya

    Dec 04, 2017 11:40

    Umoja wa Afrika AU umeitisha kikao cha kuchunguza hatua za kivitendo za kuwakomboa wahamiaji wa Kiafrika katika jela za Libya na kuwarejesha katika nchi zao.

  • Azma ya Ulaya na Afrika ya kukabiliana na mgogoro wa wahajiri

    Azma ya Ulaya na Afrika ya kukabiliana na mgogoro wa wahajiri

    Dec 02, 2017 08:59

    Viongozi wa Ulaya na Afrika wametoa taarifa ya pamoja katika Mkutano wa Tano wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya huko Ivory Coast kuhusu mgogoro wa wahajiri barani Afrika na kusistiza udharura wa kupatiwa suluhisho la msingi suala hilo ikiwa ni pamoja na kupatikana ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro uliopo hivi sasa huko Libya.

  • Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya nchini Ivory Coast

    Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya nchini Ivory Coast

    Nov 30, 2017 08:10

    Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) kilianza hapo jana na kuendelea hadi leo katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.

  • Kikao cha tano cha pamoja cha AU na EU chafanyika nchini Ivory Coast

    Kikao cha tano cha pamoja cha AU na EU chafanyika nchini Ivory Coast

    Nov 30, 2017 04:38

    Kikao cha tano cha pamoja cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya kilianza rasmi hapo jana katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.

  • IOM: Wahajiri zaidi ya elfu 3 wameaga dunia mwaka huu katika Bahari ya Mediterania

    IOM: Wahajiri zaidi ya elfu 3 wameaga dunia mwaka huu katika Bahari ya Mediterania

    Nov 29, 2017 04:47

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema wahajiri zaidi ya elfu tatu wamefariki dunia au kutoweka katika maji ya Bahari ya Mediterania wakiwa katika safari hatarishi za kuelekea barani Ulaya, tangu mwanzoni mwa huu hadi sasa.

  • IOM: Bahari ya Mediterania ndiyo mpaka unaoua idadi kubwa zaidi ya watu duniani

    IOM: Bahari ya Mediterania ndiyo mpaka unaoua idadi kubwa zaidi ya watu duniani

    Nov 26, 2017 00:13

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, kuanzia mwaka 2000 hadi sasa zaidi ya watu elfu 33 waliokuwa katika jitihada za kuelekea Ulaya kupitia Bahari ya Mediterania wamepoteza maisha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS