-
AU: Ulaya unahusika katika matatizo yanayolikumba bara la Afrika
Nov 24, 2017 00:49Mwenyekiti wa hivi sasa wa Umoja wa Afrika, Rais Alpha Condé wa Guinea Conakry amesema kuwa, Umoja wa Ulaya unahusika katika sehemu ya matatizo yanayolikabili bara la Afrika.
-
Hali mbaya ya wahajiri wa Afrika nchini Libya
Nov 20, 2017 07:53Sambamba na kuendelea hali mbaya ya wakimbizi na wahajiri wa Kiafrika nchini Libya, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameutuhumu Umoja wa Ulaya kwamba, unapuuza hali mbaya wanayokabiliwa nayo wahajiri wa Kiafrika.
-
Libya yaanzisha uchunguzi kuhusu biashara ya utumwa
Nov 19, 2017 23:18Naibu Mkuu wa Baraza la Uongozi la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa wameanzisha uchunguzi kuhusu suala la kushikiliwa na kuuzwa wahajiri kama watumwa karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Wahajiri 73 wapoteza maisha katika fukwe za Libya
Nov 08, 2017 04:17Wahajiri 73 wamekufa maji katika bahari ya Mediterranean wakati walipokuwa wanajaribu kuzifikia fukwe za Italia kutokea Libya.
-
Wahajiri wa Kiafrika wazidi kufa maji wakielekea Ulaya kutafuta maisha
Nov 07, 2017 04:50Kwa akali wahajiri watano wa Kiafrika wamefariki dunia baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterranean, magharibi mwa pwani ya Libya.
-
Angola yawatimua maelfu ya wahamiaji haramu wa Kongo DR
Nov 05, 2017 23:16Serikali ya Angola imewafukuza nchini humo maelfu ya wahamiaji haramu raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Askari wa gadi ya pwani nchini Italia waokoa wahajiri 700
Nov 04, 2017 04:18Askari wa gadi ya pwani nchini Italia wametangaza kwamba Ijumaa ya jana waliwaokoa wahajiri 700 katika bahari ya Mediterranea.
-
Wahajiri 900 waokolewa, 7 wafa maji katika pwani ya Libya
Nov 02, 2017 04:40Miili saba ya wahajiri haramu imepatikana ndani ya boti ya plastiki karibu na pwani ya Libya, huku mamia ya wengine wakiokolewa kusini mwa bahari ya Mediterranean.
-
Wahajiri zaidi ya elfu 3 wakamatwa Libya
Oct 08, 2017 10:47Serikali ya Libya imewatia mbaroni maelfu ya wahajiri haramu katika mji wa Sabratha, kaskazini magharibi mwa nchi, ikiwa ni katika jitihada za kupambana na magendo ya binadamu.
-
Wahajiri 140 waokolewa baada ya boti zao kuzama Tunisia
Oct 01, 2017 11:45Jeshi la Majini la Tunisia limefanikiwa kuokoa wahajiri wapatao 140, baada ya boti zao kuzama kusini mashariki mwa nchi.