-
Jeshi la wanamaji Libya: Tumeokoa zaidi ya wahajiri 3000 ndani ya kipindi cha wiki moja
Sep 18, 2017 02:52Msemaji wa kikosi cha jeshi la wanamaji nchini Libya amesema kuwa, askari wa gadi ya pwani ya nchi hiyo wamefanikiwa kuokoa zaidi ya wahajiri haramu 3000 ndani ya kipindi cha wiki moja katika bahari ya Mediterranean.
-
Viwiliwili vya wahajiri 16 vyapatikani jangwani mashariki mwa Libya
Sep 06, 2017 02:40Vikosi vya usalama nchini Libya vimetangaza habari ya kupatikana miili 16 ya wahajiri katika eneo la jangwani, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Misri.
-
Matukio ya kigaidi ya Uhispania, kisingizio cha kuzidishwa hatua za kiusalama kukabiliana na wahajiri
Aug 20, 2017 21:50Ripoti mpya ya Shirika la Wahajiri Duniani (IOM) imesema kwamba, idadi ya wahajiri wanaoingia nchini Uhispania imeongezeka.
-
UN yaikosoa Marekani kwa kuwazuilia wahajiri na wanaotafuta hifadhi
Aug 14, 2017 23:26Wataalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamekosoa kitendo cha Marekani kuendelea kuwazuilia wahamiaji na raia wa kigeni wanaotafuta hifadhi nchini humo.
-
Maiti 8 za wahajiri zapatikana katika boti ya plastiki Libya
Aug 02, 2017 03:46Miili 8 ya wahajiri waliokuwa wakielekea barani Ulaya imepatikana ndani ya boti ya plastiki na wapiga mbizi wa shirika moja lisilo la serikali katika pwani ya Libya.
-
Juhudi za Italia za kuwepo katika pwani ya Libya kwa ajili ya kuzuia wimbi la wahajiri
Jul 30, 2017 03:16Italia imechukua uamuzi mpya wa kutuma kikosi cha Gadi ya Pwani ili kuwazuia wahajiri wanaotokea pwani ya Libya.
-
Makubaliano kuhusu njia za kukabiliana na wahajiri haramu wa Afrika
Jul 25, 2017 22:36Katika kuendelea kukabiliana na wahajiri haramu, wawakilishi wa nchi 10 za Kiafrika, Ulaya na asasi nne za kieneo wamekubaliana kuhusu njia za kukabiliana na wahajiri hao haramu kupitia Bahari ya Mediterania na kuimarisha ushirikiano ili kuwazuia wahajiri hao.
-
Maiti 13 za wahajiri zapatikana katika boti ya plastiki Libya
Jul 25, 2017 12:00Miili 13 ya wahajiri waliokuwa wakielekea barani Ulaya imepatikana ndani ya boti ya plastiki na wapiga mbizi wa shirika moja lisilo la serikali katika pwani ya Libya.
-
Askari wa gadi ya pwani Libya wawaokoa wahajiri 300
Jul 25, 2017 03:52Kikosi cha gadi ya pwani mwa Libya kimetangaza habari ya kuokolewa wahajiri haramu 300 kutoka katika maji ya pwani mwa nchi hiyo.
-
Amnesty International: EU inapaswa kubeba jukumu la wahamiaji wa Libya
Jul 06, 2017 23:21Shirika la Msamaha la Kimataifa (Amnesty International) limesema kuwa, Umoja wa Ulaya (EU) unapaswa kubeba lawama za hali mbaya ya wahajiri nchini Libya.