-
Wanaharakati walaumu sera za uhamiaji za Ulaya kwa vifo vya wahajiri
Jun 26, 2023 06:25Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamekosoa sera za uhamiaji za Ulaya, huku vifo vya wahajiri wanaosafiri kwenda Ulaya hasa kupitia baharini vikiongezeka.
-
Umoja wa Ulaya na mchango wake katika uhalifu dhidi ya ubinadamu nchini Libya
Mar 29, 2023 22:45Wakati wimbi kubwa la wakimbizi linaendelea kumiminika Libya wakiwa na matumaini ya kuvuka bahari na kufika Ulaya, nchi hiyo ya Afrika sasa imekuwa Jahanamu kwa wakimbizi na wahamiaji, kiasi kwamba wengi wao wananyanyaswa kimwili na kiakili na hata kuuawa.
-
29 wafa maji, 11 waokolewa katika ajali ya boti pwani ya Tunisia
Mar 27, 2023 08:05Gadi ya Kitaifa ya Ulinzi wa Pwani ya Tunisia imetangaza habari ya kuaga dunia wahamiaji 29 kati ya 34 wa Kiafrika waliotoweka Ijumaa iliyopita baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuelekea Ulaya kuzama baharini karibu na pwani ya Tunisia.
-
Mamia ya wahajiri wa Kiafrika warejea nyumbani wakitokea Tunisia
Mar 05, 2023 07:09Mamia ya wahajiri wa Kiafrika wamerejea katika nchi zao wakitokea Tunisia, siku chache baada ya Rais Kais Saied wa nchi hiyo kutoa matamshi yaliyoonekana kuwa dhidi ya wahamiaji nchini humo.
-
Maiti 27 za wahajiri zapatikana jangwani nchini Chad
Dec 14, 2022 07:41Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza habari ya kugunduliwa maiti za wahamiaji 27 zikiwemo za watoto wanne katika jangwa moja nchini Chad.
-
Maelfu ya wahajiri wamepigwa na kudhalilishwa katika mipaka ya EU
Dec 09, 2022 22:52Ripoti mpya iliyotolewa na shirika moja la kutetea haki za binadamu imefichua kuwa, maelfu ya wahajiri walipewa kichapo cha mbwa, baadhi wakadhalilishwa na wengine wakazuiliwa kinyume cha sheria kabla ya kurejeshwa waliokotoka na askari wa mipaka ya nchi za Umoja wa Ulaya.
-
Morocco yazuia wahajiri 56,000 kwenda Ulaya kupitia Mediterania
Nov 14, 2022 07:37Mamlaka za Morocco zimetangaza kuwa zimezima majaribio ya makumi ya maelfu ya wahamiaji haramu waliojaribu kuvuka bahari ya Mediterania kuelekea Ulaya.
-
Maiti 8 za wahajiri zapatikana pwani ya kusini ya Tunisia
Oct 11, 2022 08:21Wavuvi wa Tunisia wameopoa miili ya wahajiri wanane waliokufa maji katika pwani ya mji wa Zarzis, kusini mwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Maiti 20 za wahajiri zapatikana katika mpaka wa Libya na Sudan
Aug 13, 2022 06:54Maiti 20 za wahajiri haramu zimepatikana katika jangwa lililoko baina ya Libya na Sudan.
-
Makumi ya wahajiri wahofiwa kufa maji wakielekea Italia
Aug 10, 2022 06:52Makumi ya wahajiri wanahofia kuaga dunia baada ya boti yao kuzama wakijaribu kuelekea Italia.