-
Ethiopia kuwarejesha nyumbani maelfu ya wahajiri kutoka Saudia kwa kuhofia maisha yao
Sep 18, 2020 06:10Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa itawarejesha nyumbani wahajiri karibu 2,000 kutoka Saudi Arabia katika wiki zijazo, kutokana na wasiwasi mkubwa wa jamii ya kimataifa juu ya hali mbaya inayoshuhudiwa katika kambi za wahamiaji nchini humo.
-
Mamia ya wahajiri wa Kiethiopia wauawa kwa kupigwa risasi na askari wa Saudia
Aug 13, 2020 22:27Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kuwa makumi ya wahajiri wa Kiethiopia waliokimbia vita kaskazini mwa Yemen wameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa mpakani wa Saudi Arabia.
-
Wahajiri 40 wafariki dunia baada ya boti yao kughariki pwani mwa Mauritania
Aug 07, 2020 02:16Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, wahajiri 40 wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kughariki katika maji ya pwani mwa Mauritania.
-
UN yataka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya wahajiri 30 Libya
May 30, 2020 03:43Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa mauaji ya makumi ya wahajiri huko nchini Libya.
-
Uhusiano mzuri wa Iran na Afghanistan katika kivuli cha mawasiliano endelevu
May 29, 2020 04:53Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulika masuala ya sheria amesema kuwa, ili kuzuia magendo ya binaadamu na safari haramu, Tehran imetiliana saini makubaliano mapya na serikali ya Afghanistan.
-
"Wahajiri" 60 wapatikana wameaga dunia ndani ya lori Msumbiji
Mar 26, 2020 06:57Miili zaidi ya 60 imepatikana ndani ya lori la mizigo katika mkoa wa Tete, kaskazini magharibi mwa Msumbiji.
-
Wahajiri 400 wakamatwa wakijaribu kwenda Ulaya na kurejeshwa Libya
Mar 15, 2020 23:03Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limesema Gadi ya Pwani ya Libya imewakamata wahajiri 400 wakiwa safarini kuelekea Ulaya na kuwarejesha katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Seneti inayohodhiwa na Warepublican yamtoa hatiani Trump na kufumbia macho utumiaji wake mbaya wa madaraka
Feb 06, 2020 00:29Rais Donald Trump wa Marekani ametolewa hatiani dhidi ya tuhuma zilizokuwa zikimkabili za kutumia vibaya madaraka kufuatia uamuzi uliopitishwa na Seneti ya nchi hiyo inayohodhiwa na chama chake cha Republican.
-
Hali ya kusikitisha na kushtua inayowakabili watoto na wanawake wahajiri nchini Ugiriki
Dec 28, 2019 09:22Gazeti la Daily Mail limeripoti kuwa maelfu ya wanawake na watoto wanakabiliwa na hali ya kusikitisha katika kisiwa kimoja huko Ugiriki.
-
Wahajiri 58 waaga dunia katika ajali ya boti pwani ya Mauritania
Dec 05, 2019 23:22Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limesema makumi ya wahajiri wamepoteza maisha baada ya boti yao kuzama karibu na pwani ya Mauritania, wakiwa safarini kuelekea Ulaya kutafuta maisha.