-
UN yataka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya wahajiri 30 Libya
May 30, 2020 03:43Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa mauaji ya makumi ya wahajiri huko nchini Libya.
-
Uhusiano mzuri wa Iran na Afghanistan katika kivuli cha mawasiliano endelevu
May 29, 2020 04:53Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulika masuala ya sheria amesema kuwa, ili kuzuia magendo ya binaadamu na safari haramu, Tehran imetiliana saini makubaliano mapya na serikali ya Afghanistan.
-
"Wahajiri" 60 wapatikana wameaga dunia ndani ya lori Msumbiji
Mar 26, 2020 06:57Miili zaidi ya 60 imepatikana ndani ya lori la mizigo katika mkoa wa Tete, kaskazini magharibi mwa Msumbiji.
-
Wahajiri 400 wakamatwa wakijaribu kwenda Ulaya na kurejeshwa Libya
Mar 15, 2020 23:03Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limesema Gadi ya Pwani ya Libya imewakamata wahajiri 400 wakiwa safarini kuelekea Ulaya na kuwarejesha katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Seneti inayohodhiwa na Warepublican yamtoa hatiani Trump na kufumbia macho utumiaji wake mbaya wa madaraka
Feb 06, 2020 00:29Rais Donald Trump wa Marekani ametolewa hatiani dhidi ya tuhuma zilizokuwa zikimkabili za kutumia vibaya madaraka kufuatia uamuzi uliopitishwa na Seneti ya nchi hiyo inayohodhiwa na chama chake cha Republican.
-
Hali ya kusikitisha na kushtua inayowakabili watoto na wanawake wahajiri nchini Ugiriki
Dec 28, 2019 09:22Gazeti la Daily Mail limeripoti kuwa maelfu ya wanawake na watoto wanakabiliwa na hali ya kusikitisha katika kisiwa kimoja huko Ugiriki.
-
Wahajiri 58 waaga dunia katika ajali ya boti pwani ya Mauritania
Dec 05, 2019 23:22Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limesema makumi ya wahajiri wamepoteza maisha baada ya boti yao kuzama karibu na pwani ya Mauritania, wakiwa safarini kuelekea Ulaya kutafuta maisha.
-
Sudan na Chad zapokea makumi ya wahajiri waliotimuliwa Libya
Nov 18, 2019 08:08Serikali ya Libya imewahamishia katika nchi za Sudan na Chad makumi ya wahamiaji haramu.
-
Watetezi wa haki za binadamu: Marekani si mahala salama kwa wakimbizi
Nov 05, 2019 08:49Watetezi wa haki za binadamu wamekosoa baadhi ya sheria ngumu za uhamiaji za Marekani na kutangaza kuwa nchi hiyo si salama na mahala pa amani kwa wakimbizi katika kipindi cha utawala wa Donald Trump.
-
Mahakama yasimamisha sera ya Trump dhidi ya wahamiaji
Nov 03, 2019 04:34Jaji wa Mahakama ya Federali ya Wilaya ya Portland, jimboni Oregon ncini Marekani amesitisha kwa muda utekelezaji wa sera iliyotangazwa na utawala wa Rais Donald Trump ya kuwataka wahamiaji kuthibitisha kuwa wana uwezo wa kugharamia bima ya afya au matibabu kabla ya kupatiwa kibali cha kuingia nchini humo.