Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wahajiri

  • Wahajiri wanane wakutwa ndani ya lori la friji wakisafirishwa kupelekwa Uingereza

    Wahajiri wanane wakutwa ndani ya lori la friji wakisafirishwa kupelekwa Uingereza

    Oct 28, 2019 04:33

    Wahajiri wanane kutoka Afghanistan wamekutwa ndani ya lori la friji lililokuwa likielekea Uingereza, wakati lori hilo lilipokaguliwa katika bandari ya Calais nchini Ufaransa. Hayo ni kwa mujibu wa ofisi ya mkuu wa mashtaka wa mji huo.

  • Wahajiri tisa wafariki dunia, 22 waokolewa baada ya boti yao kuzama katika pwani ya Italia

    Wahajiri tisa wafariki dunia, 22 waokolewa baada ya boti yao kuzama katika pwani ya Italia

    Oct 07, 2019 15:34

    Watu wasiopungua tisa wamefariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba makumi ya wahajiri kuzama katika pwani ya kisiwa cha Lampedusa, kusini mwa Sicily nchini Italia.

  • Gadi ya pwani ya Libya yaokoa makumi ya wahajiri

    Gadi ya pwani ya Libya yaokoa makumi ya wahajiri

    Sep 29, 2019 23:06

    Gadi ya Pwani ya Libya imetangaza kuwaokoa wahajiri haramu wapatao 70 baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterania.

  • Wahariji 155 wa Kiafrika wamiminika kaskazini mwa Morocco

    Wahariji 155 wa Kiafrika wamiminika kaskazini mwa Morocco

    Aug 30, 2019 22:12

    Viongozi wa eneo la Ceuta linalodhibitiwa na Uhispania lililoka kaskasini mwa Morocco wametangaza kuwa kundi moja kubwa la wahajiri wa Kiafrika limeingia kwenye eneo hilo kinyume cha sheria.

  • HRW yakosoa ukandamizaji wa Saudia dhidi ya wahajiri wa Kiethiopia

    HRW yakosoa ukandamizaji wa Saudia dhidi ya wahajiri wa Kiethiopia

    Aug 16, 2019 23:12

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeeleza wasiwasi wake kuhusu haki ya wahajiri wa Kiethiopia nchini Saudi Arabia na kukosoa ukiukwaji wa haki zao unaofanywa na maafisa wa nchi hiyo.

  • WHO: Dawa mbili zilizoko kwenye majaribio zimeonyesha uwezekano mkubwa kutibu Ebola

    WHO: Dawa mbili zilizoko kwenye majaribio zimeonyesha uwezekano mkubwa kutibu Ebola

    Aug 14, 2019 03:40

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kkuwa, Dawa mbili mpya zinazojaribiwa kwa wagonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimeonyesha kuwa, zina uwezo mkubwa wa kutibu maradhi hayo.

  • Rais wa zamani wa Gambia atuhumiwa kufanya mauaji dhidi ya wahajiri

    Rais wa zamani wa Gambia atuhumiwa kufanya mauaji dhidi ya wahajiri

    Jul 24, 2019 22:10

    Rais wa zamani wa Gambia ametuhumiwa kwamba mwaka 2005 alitoa amri ya kutekelezwa mauaji ya umati dhidi ya wahajiri 30 pamoja na mwandishi mmoja wa habari.

  • Viwiliwili vya wahajiri 79 waliozama baharini Tunisia vyapatikana

    Viwiliwili vya wahajiri 79 waliozama baharini Tunisia vyapatikana

    Jul 13, 2019 08:06

    Siku kumi zilizopita, mtumbwi mmoja uliokuwa umejaza wahajirii ulizama karibu na fukwe za Tunisia. Hadi hivi sasa miili 79 ya wahajirii hao imeshaopolewa kutoka baharini.

  • Maelfu waandamana Marekani kupinga udhalilishaji wa Trump kwa wahajiri

    Maelfu waandamana Marekani kupinga udhalilishaji wa Trump kwa wahajiri

    Jul 13, 2019 07:59

    Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya Marekani, kupinga sera hasi za utawala wa Rais Donald Trump dhidi ya wahajiri wanaozuiliwa katika vituo vya mpaka wa nchi hiyo, na pia dhidi ya mpango wa kuwakamata na kuwatimua nchi humo wahajiri ambao hawajasajiliwa.

  • HRW, Amnesty zataka kufungwa vituo vya kuwazuilia wahajiri Libya

    HRW, Amnesty zataka kufungwa vituo vya kuwazuilia wahajiri Libya

    Jul 12, 2019 10:48

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch, Amnesty International na Baraza la Ulaya la Wakimbizi na Wahajiri (ECRE) yametoa mwito wa kufungwa kambi za kuwazuilia wakimbizi na wahajiri nchini Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS