Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Huenda Kongresi ya Marekani ikalazimika kufuta marufuku ya miaka 181 ya Hijabu

    Huenda Kongresi ya Marekani ikalazimika kufuta marufuku ya miaka 181 ya Hijabu

    Nov 20, 2018 04:37

    Mwakilishi wa Minnesota katika Kongresi ya Marekani, Ilhan Omar amesema ataanzisha jitihada za kuhakikisha kuwa sheria ya kupigwa marufuku uvaaji wa mitandio kichwani ikiwemo Hijabu inayovaliwa na wanawake Waislamu katika Bunge la Wawakilishi wa Marekani, inaangaliwa upya.

  • Wanafunzi Waislamu Nigeria waruhusiwa kuvaa Hijabu shuleni Lagos

    Wanafunzi Waislamu Nigeria waruhusiwa kuvaa Hijabu shuleni Lagos

    Nov 15, 2018 11:56

    Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu Nigeria NSCIA limepongeza agizo la Mahakama ya Juu nchini humo la kuitaka serikali ya jimbo la Lagos kuwaruhusu wanafunzi Waislamu kuvaa Hijabu katika shule za umma katika mji mkuu huo wa kibiashara.

  • Mufti wa Tanzania awahimiza Waislamu kujifunza sayansi + Sauti

    Mufti wa Tanzania awahimiza Waislamu kujifunza sayansi + Sauti

    Nov 11, 2018 14:03

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi bin Ali amewataka Waislamu wa Tanzania kujiendeleza na kujitanua katika nyanja mbalimbali za kielimu hasa katika sekta ya sayansi na teknologia ili kuiendeleza dini ya Kiislamu kwa njia bora zaidi. Ammari Dachi na taarifa zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Undumakuwili wa Marekani kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi kwa mtazamo wa Zarif

    Undumakuwili wa Marekani kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi kwa mtazamo wa Zarif

    Nov 10, 2018 07:50

    Baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 katika miji ya Washington na New York huko Marekani, Rais wa wakati huo wa nchi hiyo, George W. Bush aliwanyooshea kidole cha tuhuma Waislamu na kuiarifisha Marekani kuwa ni mbeba bendera ya kupambana na ugaidi.

  • Jeshi la Nigeria laua Waislamu 10 wakishiriki Arubaini ya Imam Hussein AS

    Jeshi la Nigeria laua Waislamu 10 wakishiriki Arubaini ya Imam Hussein AS

    Oct 27, 2018 23:32

    Wanajeshi wa Nigeria wameushambulia msafara wa Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS, viungani mwa mji mkuu wa nchi Abuja, na kuua shahidi kumi miongoni mwa waumini hao.

  • Vijana wanamapinduzi wa Iran wataka kuimarishwa Umoja wa Kiislamu

    Vijana wanamapinduzi wa Iran wataka kuimarishwa Umoja wa Kiislamu

    Oct 26, 2018 01:19

    Vijana wanamapinduzi wa Iran wametoa wito wa kuimarishwa Umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu na kukabiliana na njama za Marekani na Israel.

  • UN yakosoa hatua ya Ufaransa ya kupiga marufuku burqa

    UN yakosoa hatua ya Ufaransa ya kupiga marufuku burqa

    Oct 23, 2018 10:03

    Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeijia juu serikali ya Ufaransa kwa kupiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.

  • Parnham akiri kuanzisha wimbi la mashambulizi dhidi ya Waislamu Uingereza

    Parnham akiri kuanzisha wimbi la mashambulizi dhidi ya Waislamu Uingereza

    Oct 13, 2018 21:42

    Mbaguzi mashuhuri wa rangi wa Uingereza amekiri kwamba amekuwa akiwachochea raia wa nchi hiyo kuwashambulia Waislamu.

  • Wanawake Waislamu Quebec, Canada kupigwa marufuku kuvaa Hijabu

    Wanawake Waislamu Quebec, Canada kupigwa marufuku kuvaa Hijabu

    Oct 05, 2018 12:04

    Serikali ya Waziri Mkuu mteule wa jimbo la Quebec nchini Canada imeazimia kuwapiga marufuku wanawake Waislamu wa eneo hilo kuvaa hijabu ya aina yeyote ikiwemo mitandio ya kichwani.

  • Bunge la Ulaya lataka kusitishwa ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa Uighur, China

    Bunge la Ulaya lataka kusitishwa ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa Uighur, China

    Oct 05, 2018 01:03

    Wawakilishi wa Bunge la Ulaya wamelaani kamatakamata kubwa ya Waislamu wa jimbo la Xinjiang huko kaskazini mwa China na kutoa wito wa kusitishwa ukandamizaji wa Waislamu hao wa jamii ya Uighur (Uyghurs).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS