-
Nchi zisizo za Kiislamu zatakiwa kuheshimu haki za Waislamu
Jul 03, 2016 08:51Mshauri iwa Rais wa Misri amesema kuwa upo ulazima kwa nchi zisizo za Kiislamu kuheshimu haki za Waislamu.
-
Sala ya Idul Fitr yafutwa Uingereza kwa kuhofia hujuma ya wenye misimamo mikali
Jul 02, 2016 23:05Sala ya Idul Fitri imefutwa katika mji mwa Southampton Uingereza kufuatia ripoti kuwa makundi ya watu wenye misimamo mikali wenye chuki dhidi ya Waislamu wanapanga kuvuruga sala hiyo.
-
UN yataka kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Jul 02, 2016 03:30Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Haki za Binadamu nchini Myanmar ametoa wito wa kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo.
-
Rais Museveni: Waasi wa ADF ndio wanaowaua Wanazuoni wa Kiislamu
Jul 01, 2016 03:26Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kundi la waasi la ADF-Nalu, linaloendeleza harakati zake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndilo limehusika na mauaji ya hivi karibuni ya viongozi na wasomi wa Kiislamu nchini Uganda.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran la kushiriki kwa wingi katika Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 30, 2016 08:59Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema kwa kushiriki kwa hamasa kubwa wananchi wa Iran na mataifa mengine ya Kiislamu katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds ni ujumbe wa nguvu kwa maadui wa Uislamu na kwa mabeberu wa dunia.
-
Waislamu Marekani wataka kudhaminiwa usalama
Jun 27, 2016 23:33Baraza la Uhusiano wa Uislamu na Marekani (CAIR) limeitaka serikali ya nchi hiyo kuzidisha usalama na kulinda misikiti ya vituo vya Kiislamu husuan katika jimbo la New York.
-
Waislamu wa Myanmar waendelea kufanyiwa jinai za kutisha
Jun 20, 2016 23:18Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kuendelea jinai za mabudha dhidi ya Waislamu wa Myanmar.
-
Jamhuri ya Afrika ya Kati yawalaani wanaotaka kufufua mauaji
Jun 20, 2016 10:03Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imeyalaani makundi ya watu ambao wanafanya njama za kurejesha ukosefu wa amani na mauaji katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui.
-
Askari mwandamizi wa Marekani akamatwa kwa kujaribu kuua Waislamu
Jun 11, 2016 02:39Ofisa mwandamizi wa jeshi la Marekani anatazamiwa kupandishwa kizimbani karibuni hivi kwa madai ya kutishia kushambulia msikiti na kuua waumini wa Kiislamu katika jimbo la Carolina Kaskazini.
-
China yawazuia tena Waislamu wa Xinjiang kufunga Saum ya Ramadhani
Jun 07, 2016 23:29Serikali ya China, kwa mara nyingine, imewaamuru wanafunzi, wafanya kazi wa umma na hata wakaazi wa kawaida katika eneo lenye Waislamu wengi la Xinjiang kutofunga Saum ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.