Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi wa Ramadhani

    Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi wa Ramadhani

    Jun 06, 2016 03:11

    Baadhi ya Waislamu kutoka pembe mbali mbali za dunia wameanza ibada ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Kulalamikiwa vitendo vya kibaguzi vya Uingereza dhidi ya Waislamu

    Kulalamikiwa vitendo vya kibaguzi vya Uingereza dhidi ya Waislamu

    May 27, 2016 23:18

    Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya nchini Uingereza imeulalamikia vikali uamuzi wa kibaguzi wa saerikali ya nchi hiyo wa kuunda timu ya kuchunguza namna ya utekelezaji wa sheria na kanuni za Kiislamu nchini humo.

  • Chama chenye misimamo mikali Ujerumani chavunja mazungumzo na Waislamu

    Chama chenye misimamo mikali Ujerumani chavunja mazungumzo na Waislamu

    May 24, 2016 11:51

    Chama cha mrengo wa kulia nchini Ujerumani cha AfD kimevunja mazungumzo yaliyotazamia kuupatia ufumbuzi mkwaruzano kati yao na wanaharakati Waislamu nchini humo.

  • Matatizo ya Waislamu wa Marekani hata baada ya kufariki kwao dunia

    Matatizo ya Waislamu wa Marekani hata baada ya kufariki kwao dunia

    May 23, 2016 23:05

    Waislamu wa Marekani hawakabiliwi na matatizo katika kipindi cha uhai wao tu bali hata wanapofariki dunia matatizo hayo bado huwaandama.

  • Trump ajikosha, asaka kura za Waislamu wa Marekani kwa udi na uvumba

    Trump ajikosha, asaka kura za Waislamu wa Marekani kwa udi na uvumba

    May 23, 2016 02:57

    Donald Trump, anayewania kuteuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais wa Marekani na ambaye ni maarufu kwa maneno ya chuki dhidi ya Waislamu, hivi sasa anaonekana kuhaha kutafuta kura za Waislamu.

  • Waislamu Uingereza waendesha kampeni maalumu za kuutambulisha Uislamu

    Waislamu Uingereza waendesha kampeni maalumu za kuutambulisha Uislamu

    May 21, 2016 23:52

    Jumuiya ya Waislamu wa Uingereza imeitisha kikao maalumu cha kujibu maswali ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuhusiana na Uislamu na utamaduni wa Kiislamu.

  • Mkutano wa kiusalama wafanyika katika msikiti mmoja nchini Rwanda

    Mkutano wa kiusalama wafanyika katika msikiti mmoja nchini Rwanda

    May 17, 2016 09:17

    Wakuu wa vyombo vya usalama na viongozi wa Kiislamu wa Rwanda wamefanya mkutano katika msikiti mmoja nchini humo kujadili mustakabali wa kiusalama.

  • Al Azhar kuasisi asasi ya kukurubisha madhehebu ya Kiislamu Misri

    Al Azhar kuasisi asasi ya kukurubisha madhehebu ya Kiislamu Misri

    May 12, 2016 23:41

    Mhadhiri mmoja wa fikihi katika Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri ametangaza habari ya kuasisiwa taasisi maalumu ya kukurubisha madhehebu ya Kiislamu.

  • Mabasi ya London yana mabango ya 'Subhan Allah' katika Kampeni ya Mwezi wa Ramadhani

    Mabasi ya London yana mabango ya 'Subhan Allah' katika Kampeni ya Mwezi wa Ramadhani

    May 10, 2016 23:47

    Shirika moja la kutoa misaada nchini Uingereza limeanzisha kampeni ya matangazo yenye mabango ya 'Subhan Allah' kwa ajili ya kushajiisha watu watoe misaada katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

  • Serikali ya Myanmar na hali mbaya ya Waislamu wa Rohingya

    Serikali ya Myanmar na hali mbaya ya Waislamu wa Rohingya

    May 04, 2016 03:23

    Katika hali ambayo matatizo ya Waislamu wa Rohingya katika kambi za wakimbizi yanaendelea kushuhudiwa, makundi yanayofungamana na Waislamu yametoa ripoti kuhusiana na matatizo mapya yanayowakabili Waislamu hao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS