-
Wabangali waandamana kulaani njama za kufuta Uislamu kuwa dini rasmi
Mar 26, 2016 03:42Maelfu ya wananchi wa Bangladesh wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo kukosoa kile walichokitaja kuwa njama za baadhi ya watu wanaojiita 'mashuhuri' nchini humo kutaka Uislamu usitambuliwe kuwa dini rasmi ya nchi hiyo.
-
Sanders: Matamshi ya Trump kuhusu Waislamu yanakera
Mar 24, 2016 03:34Mgombea tiketi ya chama cha Democratic kwa ajili ya kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais nchini Marekani, Bernie Sanders amekosoa vikali matamshi yanayotolewa na mgombea mwenzake wa chama cha Republican, Donald Trump dhidi ya Waislamu akisema mashambulizi dhidi ya Waislamu wote duniani kwa kutumia kisingizio cha matukio kama yale ya hivi majuzi mjini Brussels yanakasirisha na yanapingana na katiba ya Marekani.
-
Mgombea mwingine wa rais Marekani afuata nyayo za Trump
Mar 23, 2016 02:57Mgombea wa kiti cha rais kupitia chama cha Republican Ted Cruz amependekeza kuazishwa msako mkali dhidi ya wafuasi wa dini ya Kiislamu eti kwa shabaha ya kuwazuia ‘wasiingie kwenye kundi la wenye misimamo iliyofurutu ada’.
-
Mabudha wa Myanmar waendelea kutenda jinai na mauaji dhidi ya Waislamu
Mar 22, 2016 00:06Hali ya Waislamu wa Myanmar imeripoti kuwa inaendelea kutia wasiwasi licha ya ushindi wa chama cha National League for Democracy kinachoongozwa na Aung San Suu Kyi ambao umekomesha utawala wa kipindi kirefu wa kijeshi nchini humo.
-
Mabudha wa Myanmar waendelea kutenda jinai na mauaji dhidi ya Waislamu
Mar 21, 2016 23:08Hali ya Waislamu wa Myanmar imeripoti kuwa inaendelea kutia wasiwasi licha ya ushindi wa chama cha National League for Democracy kinachoongozwa na Aung San Suu Kyi ambao umekomesha utawala wa kipindi kirefu wa kijeshi nchini humo.
-
Wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la ubaguzi duniani
Mar 18, 2016 23:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amebainisha wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la ubaguzi na ghasia inayohusiana na chuki za kibaguzi duniani kote.
-
Waislamu Nigeria watoa sharti la kufika mbele ya tume ya uchunguzi
Mar 15, 2016 11:51Waislamu nchini Nigeria wamekataa kufika mbele ya jopo lililobuniwa na serikali ya Abuja kuchunguza mauaji ya Waislamu wa Zaria Disemba mwaka jana, huku wakitoa sharti la kuachiwa huru msomi wa Kiislamu Sheikh Ibrahim Zakazky ambaye anazuiliwa katika mazingira magumu tangu wakati huo.
-
Wanawake Waislamu US watakiwa kujifunza mbinu za kujihami
Mar 13, 2016 13:22Baraza la Mahusiano la Waislamu nchini Marekani limewataka wanawake wa Kiislamu nchini humo kujifunza mbinu za kujilinda na kujihami wanaposhambuliwa, wakati huu ambapo chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu zimeongezeka kwa kiasi kikubwa mno.
-
Rouhani: Haram na matukufu ya Kiislamu ni mstari mwekundu kwa Iran
Mar 12, 2016 11:54Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitoruhusu makundi ya kigaidi kushambulia Haram na matukufu mengine ya Kiislamu nchini Iraq na Syria huku akisisitiza kuwa, maeneo matakatifu ya kidini ni mstari mwekundu wa taifa hili.
-
Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hali mbaya
Mar 02, 2016 11:55Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa Waislamu wanaotaabika wa Rohingya wanaendelea kuishi katika hali ya kutisha licha ya ahadi zilizotolewa na chama cha upinzani cha nchi hiyo kilichoshinda uchaguzi kuwa kitalinda na kutetea haki za waliowachache huko Myanmar.