Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wakimbizi

  • UNHCR: Watu milioni 70  duniani wamelazimika kuhama makwao

    UNHCR: Watu milioni 70 duniani wamelazimika kuhama makwao

    Dec 17, 2019 01:18

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNCHR) linasema zaidi ya watu milioni 70 duniani wamelazimika kuhama kutokana na vita, mizozo na mateso.

  • Watetezi wa haki za binadamu: Marekani si mahala salama kwa wakimbizi

    Watetezi wa haki za binadamu: Marekani si mahala salama kwa wakimbizi

    Nov 05, 2019 08:49

    Watetezi wa haki za binadamu wamekosoa baadhi ya sheria ngumu za uhamiaji za Marekani na kutangaza kuwa nchi hiyo si salama na mahala pa amani kwa wakimbizi katika kipindi cha utawala wa Donald Trump.

  • Wahajiri 20 watiwa nguvuni wakiwa ndani ya malori huko Ubelgiji

    Wahajiri 20 watiwa nguvuni wakiwa ndani ya malori huko Ubelgiji

    Oct 27, 2019 04:01

    Polisi ya Ubelgiji imetangaza kuwa, imekamata malori mawili yaliyokuwa yamebeba wahajiri 20 wakiwa njiani kupelekwa Uingereza.

  • UN: Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya

    UN: Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya

    Oct 12, 2019 04:27

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya kufikia sasa.

  • Ujerumani yatahadharisha kuhusu kukaririwa mgogoro wa wahajiri barani Ulaya

    Ujerumani yatahadharisha kuhusu kukaririwa mgogoro wa wahajiri barani Ulaya

    Oct 08, 2019 23:38

    Horst Seehofer Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani alitahadharisha jana katika kikao cha Mawaziri wa Nchi za Ulaya huko Brussels kuwa, kuna uwezekano wa kukaririwa mgogoro wa wahajiri barani Ulaya kama ule ulioshuhudiwa mwaka 2015.

  • UNHCR:  Zaidi ya wahajiri 1,000 wamekufa maji mwaka huu katika bahari ya Mediterania

    UNHCR: Zaidi ya wahajiri 1,000 wamekufa maji mwaka huu katika bahari ya Mediterania

    Oct 02, 2019 01:07

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, zaidi ya wahajiri 1,000 wamekufa maji mwaka huu katika bahari ya Mediterania wakiwa katika juhudi za kuelea barani Ulaya kutafuta maisha mazuri.

  • Papa azikosoa nchi zinazouza silaha na kuwafukuza wakimbizi

    Papa azikosoa nchi zinazouza silaha na kuwafukuza wakimbizi

    Sep 30, 2019 04:15

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema mashindano ya kuuza silaha yanayofanywa na nchi fulani duniani ndiyo sababu ya ghasia na mauaji ya watu wakiwemo watoto wadogo katika nchi zinazoshuhudia vita katika kona mbalimbali duniani.

  • UN: Watu 1,500 wakimbia mauaji na hujuma dhidi ya wageni Afrika Kusini

    UN: Watu 1,500 wakimbia mauaji na hujuma dhidi ya wageni Afrika Kusini

    Sep 21, 2019 02:48

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa raia wa kigeni zaidi ya 1,500 wanaoishi Afrika Kusini wamekimbia makazi yao kwa kuhofia mashambulizi yanayowalenga wageni hususan raia wa nchi za Kiafrika wanaoishi nchini humo.

  • Rwanda kuwapokea mamia ya wakimbizi waliokwama Libya

    Rwanda kuwapokea mamia ya wakimbizi waliokwama Libya

    Sep 11, 2019 02:31

    Serikali ya Rwanda imekubali kuwapokea mamia ya wakimbizi na watu wanaotafuta hifadhi waliokwama nchini Libya.

  • Ujerumani yahimiza kuundwa umoja wa nchi za Ulaya wa kuwaokoa wakimbizi

    Ujerumani yahimiza kuundwa umoja wa nchi za Ulaya wa kuwaokoa wakimbizi

    Jul 13, 2019 21:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amesema kuwa kuna ulazima wa kuundwa umoja wa nchi za Ulaya kwa ajili ya kuwaokoa wakimbizi na kutoa mchango wa kimsingi Berlin katika jukumu hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS