-
Mamia ya walowezi wa Kiyahudi wauvamia Msikiti wa Al-Aqsa huku wakilindwa na askari wa Israel
Mar 13, 2024 02:47Mamia ya walowezi wa Kiyahudi jana Jumanne walivamia tena eneo la Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Baitul-Muqaddas Mashariki unaokaliwa kwa mabavu huku wakisindikizwa na kulindwa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanaoendelea kuchukua hatua kali za kuwawekea mipaka Wapalestina ya kuingia kwenye msikiti huo.
-
Wazayuni wauvamia tena Msikiti wa Al Aqsa kwa siku ya nne mfululizo
Oct 03, 2023 07:53Kundi kubwa la walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena kwa siku ya nne mtawalia Msikiti wa Al-Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Sep 19, 2023 02:31Sambamba na maadhimisho ya sikukuu za Kiyahudi, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wameuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi.
-
Wazayuni wenye misimamo mikali wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Jul 17, 2023 04:32Wazayuni maghasibu wenye misimamo ya kufurutu ada Kwa mara nyingine tena wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
-
Wazayuni waushambulia tena Msikiti wa al-Aqsa
Jun 15, 2023 11:31Askari wa utawala haramu wa Israel na walowezi wa Kizayuni wameshambulia tena Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa.
-
Walowezi wa Kizayuni waendeleza vitendo vya kuuvamia msikiti wa al-Aqswa
Mar 06, 2023 07:34Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Utawala wa Israel wabomoa kituo cha afya cha Wapalestina
Jan 05, 2022 02:36Utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa kituo cha afya na majengo mengine kadhaa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Mamia ya walowezi wa Kizayuni wakivamia Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Sep 23, 2021 04:43Vitendo vya chuki na uadui vya walowezi wa Kizayuni vimeendelea baada ya mamia ya walowezi hao wenye chuki na Uislamu kuuvamia Msikiti wa al Aqsa ambao ndicho Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Sep 16, 2021 02:23Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Jihadul-Islami: Walowezi wa Kizayuni ni walengwa halali wa mashambulio ya wanamuqawama
Jul 17, 2021 08:13Msemaji wa harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesisitiza kuhusu haki halali na ya kisheria ya kujihami waliyonayo Wapalestina na akabainisha kwamba, walowezi wa Kizayuni ni walengwa halali kisheria wa muqawama.