-
Uamuzi wa Mahakama ya ICC wa kufuatilia jinai za utawala wa Kizayuni
Dec 21, 2019 21:43Hatua zilizo dhidi ya ubinadamu na za ukiukaji sheria zinazochukuliwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina zimekuwa zikilaaniwa mara kwa mara na taasisi za kutetea haki za binadamu na pia za kimataifa. Kutokana na kushtadi kwa hatua hizo za utendaji jinai, taasisi ya kimataifa yenye jukumu la kushughulikia jinai za kivita hivi sasa imepanga kuchunguza suala hilo.
-
Maandamano ya "Haki ya Kurejea" Palestina yataendelea mpaka yafikie malengo yake
Nov 23, 2019 04:37Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya maandamano ya "Haki ya Kurejea" amesisitiza kuwa, maandamano ya Wapalestina ya "Haki ya kurejea" ambayo hufanyika kila Ijumaa yataendelea hadi pale Wapalestina watakapofikia malengo yao.
-
Wapalestina 5 wajeruhiwa katika makabiliano na wanajeshi wa Israel
Aug 20, 2019 08:54Wapalestina wasiopungua watano wamejeruhiwa katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan katika makabiliano na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni.
-
Rais Mahmoud Abbas: Katu Wapalestina hawataukubali mpango wa 'Muamala wa Karne'
Jul 21, 2019 07:00Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, katu Wapalestina hawataukubali mpango wa Marekani wa 'Muamala wa Karne'.
-
Wanajeshi wa utawala unaoikalia Quds kwa mabavu wamtia mbaroni waziri wa Palestina
Jun 30, 2019 08:29Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni jana usiku walivamia nyumba ya waziri wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kumtia mbaroni.
-
UN yaelezea kusikitishwa na hali mbaya ya Ukanda wa Ghaza
Sep 16, 2018 21:52Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya maendeleo na biashara ametoa ripoti maalumu kuhusu maafa ya kibinadamu ya Ukanda wa Ghaza na kuongezeka kupindukia idadi ya Wapalestina wasio na kazi akisema kuwa hali hiyo inasikitisha sana.
-
Majibu makali ya Wapalestina kwa mashambulizi ya Wazayuni Ukanda wa Ghaza
Aug 09, 2018 21:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na brigedi za Quds, tawi la kijeshi la harakati ya Jihadul Islami ya Palestina mapema jana asubuhi (Alkhamisi) zilitoa matamko tofauti ya kusisitizia haki yao ya kujilinda mbele ya uvamizi na uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wanasayansi wawili wa Palestina wakutwa wameaga dunia huko Algiers
Jul 23, 2018 03:31Wanasayansi wawili wa Kipalestina wamekutwa wameaga dunia katika nyumba moja huko Algiers mji mkuu wa Algeria. Hayo yameelezwa na ubalozi wa Palestina nchini humo.
-
Mwanahistoria mashuhuri wa Kiyahudi: Marekani imewafanyia hadaa watu wa Palestina
May 03, 2018 10:39Mwanahistoria mtajika wa Kiyahudi Ilan Pappé ameashiria jinsi baadhi ya Wapalestina walivyodhani kwamba Marekani ikiwa kama mpatanishi itasaidia mpango wa kuundwa nchi ya Palestina na kubainisha kuwa serikali za Marekani ikiwemo ya Barack Obama zimewafanyia hadaa watu wa Palestina.
-
Amnesty yataka kufanyike uchunguzi wa mauaji ya Wapalestina
Apr 16, 2018 09:50Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kukomeshwa ukandamizaji unaofanywa na maafisa wa utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina na kuanzishwa uchunguzi wa mauaji yaliyofanywa na askari wa utawala huo dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina.