-
Unduli wa Israel wa kutaka kuua Wapalestina wengi zaidi
Dec 30, 2017 23:15Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni ametaka kunyongwa raia wa Palestina kufuatia kushtadi wimbi la malalamiko ya raia hao.
-
Mahmoud Abbas: Wapalestina hawatokubali tena mpango wowote wa Marekani
Dec 22, 2017 23:13Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema taifa lake "halitokubali tena" mpango wowote wa Marekani kwa ajili ya kile kinachoelezwa kama mchakato wa amani ya Mashariki ya Kati na kuiita nchi hiyo "mpatanishi asiye na mwamana".
-
Radiamali ya Wapalestina dhidi ya njama za utawala wa Kizayuni katika Msikiti wa al-Aqswa
Jul 22, 2017 07:25Habari kutoka Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel zinaelezea kuongezeka siku ya Ijumaa malalamiko na maandamano ya Wapalestina katika pembe zote za ardhi zao zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Wapalestina waitaka Uingereza kuomba radhi kwa kutoa Azimio la Balfour
Apr 18, 2017 11:07Taarifa ya mwisho iliyotolewa na mkutano wa Wapalestina wanaoishi barani Ulaya imeitaka Uingereza kuomba radhi rasmi kwa sababu ya kutoa Azimio la Balfour lililopelekea kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina na hatimaye kufukuzwa wenyeji katika ardhi na nchi yao.
-
Vikosi vya Israel vyawateka nyara Wapalestina 14 Ukingo wa Magharibi
Mar 20, 2017 04:07Vikosi katili vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimewateka nyara raia 14 wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Israel imewatia nguvuni Wapalestina 420 mwezi Februari
Mar 06, 2017 00:32Ripoti mpya zinaonyesha kuwa askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewatia nguvuni na kuwaweka kizuizini Wapalestina 420 katika kipindi cha mwezi mmoja tu uliopita wa Februari ukiwa ni muendelezo wa ukandamizaji unaofanywa na utawala huo katika ardhi unazozikalia kwa mabavu za Palestina.
-
Hujuma ya anga ya Israel huko Gaza yaua, kujeruhi Wapalestina 7
Feb 09, 2017 03:43Kwa akali Wapalestina wawili wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya watano wakijeruhiwa baada ya ndege ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutekeleza hujuma ya anga katika mji wa Rafah, Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wapalestina: Kama si msaada wa Iran, kadhia yetu ingelikuwa imesahauliwa
Feb 08, 2017 13:13Makundi mbalimbali ya Palestina yamesisitiza kuwa, ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umelisaidia mno taifa la Palestina na kuzuia kusahauliwa taifa hilo madhlumu.
-
Amnesty yaitaka Israel imuachie huru Mpalestina aliyesusia chakula
Aug 12, 2016 23:20Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeutaka utawala haramu wa Israel umuachie huru mfungwa wa Kipalestina Bilal Kayed ambaye amekuwa katika mgomo wa chakula kwa miezi miwili sasa.
-
Israel yazidisha ukatili dhidi ya Wapalestina kwa himaya ya Marekani
Jul 04, 2016 03:21Ripoti za hivi karibuni zinaonesha kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umezidisha ukandamizaji na ukatili dhidi ya watu wanaoendelea kukandamizwa wa Palestina.