-
Serikali na wapinzani wakabana koo Madagascar
Jun 27, 2016 11:33Serikali ya Madagascar na wapinzani wake wanatuhumiana kuhusika na mlipuko uliotokea katika mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Mkuu wa upinzani Kongo DR ahukumiwa miaka 3 jela
Jun 23, 2016 03:24Mahakama moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemhukumu miaka mitatu jela, kinara wa upinzani nchini humo ambaye pia ni mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu ujao, Moise Katumbi, aliyekuwa anakabiliwa na tuhuma za mauzo ya nyumba kinyume cha sheria.
-
Burundi: Hatutaki mazungumzo ya amani na upinzani
Jun 11, 2016 03:05Licha ya juhudi za kimataifa na za kieneo za kutaka kutatuliwa mgogoro wa Burundi, lakini serikali ya nchi hiyo imesema haiko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa upinzani.
-
Wapinzani wa serikali ya DRC wakutana nchini Ubelgiji
Jun 10, 2016 02:52Vyombo vya habari vimeripoti habari ya kukutana wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini Ubelgiji.
-
Upinzani kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi
May 24, 2016 23:37Muungano mkuu wa upinzani nchini Burundi unaoitwa CNARED umesema uko tayari kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya amani iwapo utaalikwa rasmi.
-
Upinzani Kenya: Wabunge wa Jubilee wanapanga njama ya kuahirisha uchaguzi mkuu 2017
May 22, 2016 23:03Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamedai wabunge wa muungano tawala wa Jubilee wanapanga njama ya kuvuruga maandamano yao ya amani ambayo hufanyika kila Jumatatu kwa lengo la kushinikiza kujiuzulu makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC, ili itangaze hali ya hatari na hatimaye kuahirisha uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwaka ujao wa 2017.
-
Serikali ya DRC yamruhusu kiongozi wa upinzani Moise Katumbi akatibiwe nje ya nchi
May 20, 2016 23:42Duru rasmi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinaripoti kwamba, Moise Katumbi mwanasiasa aliyetangaza nia ya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi ujao na ambaye anakabiliwa na kesi ya kuajiri mamluki ameruhusiwa kutoka nchini humo kwa ajili ya kwenda kupatiwa matibabu nje ya nchi.
-
Besigye: Huenda nikauawa kwenye gereza la Luzira, Uganda
May 19, 2016 02:46Kinara wa upinzani nchini Uganda, Dakta Kizza Besigye amesema maisha yake yamo hatarini na kwamba yumkini atauawa katika gereza kuu la Luzira, ambako anazuiliwa kwa sasa.
-
Besigye kuendelea kuzuiliwa wakati Rais Museveni wa Uganda akiapishwa
May 12, 2016 03:32Katika hali ambayo Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda anatazamiwa kuapishwa wakati wowote tokeo sasa, kinara wa upinzanai nchini humo Dakta Kizza Besigye anaendelea kuzuiliwa katika jela ya Nalufenya wilayani Jinja eneo la Karamoja.
-
Malalamiko ya chama tawala nchini Afrika Kusini dhidi ya matamshi ya wapinzani
Apr 26, 2016 22:03Chama tawala nchini Afrika Kusini kimetoa taarifa na kutangaza kuwa, matamshi ya Julius Malema mmoja wa wapinzani wa Rais Jacob Zuma ni hiana na usaliti dhidi ya maslahi ya kitaifa na kwamba, serikali ya nchi hiyo itamshtaki.