-
Makumi ya wapiganaji wa ISIS wauawa katika mapigano na vikosi vya Puntland, Somalia
Feb 13, 2025 06:50Makumi ya wanamgambo wa ISIS wameuawa katika makabiliano makali na vikosi vya usalama katika eneo linalojitawala la Puntland huko Somalia jana Jumatano, huku vikosi vya usalama vikipata hasara katika mapigano hayo yaliyoanza Jumanne iliyopita.
-
Al-Khazali: Marekani haitaki kuondoka Iraq, inatumia kisingizio cha kupambana na Daesh
Nov 25, 2023 13:03Kiongozi wa harakati ya muqawama ya Iraq amesema kuwa, vikosi vya majeshi ya Marekani havina nia ya kuondoka katika nchi hiyo ya Kiarabu na vinahalalisha uwepo wao kinyume cha sheria kwa kutumia kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh ambalo limekwishakufa na kutoweka.
-
Watu 17 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi ya ISIS nchini Mali
Jun 30, 2023 03:23Raia wasiopungua 17 wameuawa katika mashambulizi mawili yaliyofanywa na wanachama wenye mfungamano na kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) katika eneo la Gao, kaskazini mwa Mali.
-
Raia 53 wauawa katika shambulizi la 'magaidi wa ISIS' Syria
Feb 18, 2023 09:58Kwa akali watu 53 wameuawa katika shambulio linaloaminika kufanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Homs, magharibi mwa Syria.
-
Libya yawahukumu kifo wanachama 17 wa ISIS
Dec 20, 2022 07:12Mahakama moja nchini Libya imewahukumu kifo wanachama 17 wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh).
-
Iran yawatia mbaroni wanachama wa ISIS waliotaka kushambulia maombolezo ya Muharram
Aug 05, 2022 01:15Wizara ya Intelijensia ya Iran imetangaza habari ya kutiwa mbaroni wanachama kumi wenye mfungamano na Wazayuni wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS (Daesh).
-
Wanamgambo 100 wa ISIS wauawa katika mashambulizi ya anga kaskazini mwa Nigeria
Dec 22, 2021 13:37Shirika la habari la Ufaransa limenukuu vyanzo vya kijeshi na vya ndani vikisema kuwa wapiganaji 100 wa kundi la kigaidi la ISIS waliuawa wiki iliyopita katika mashambulizi ya jeshi la Nigeria dhidi ya kambi za kundi hilo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mjumbe Maalumu wa Iran: Marekani inaunga mkono ISIS
Nov 15, 2021 11:51Mjumbe Maalum wa Rais wa Iran katika masuala ya Afghanistan amesema Marekani ilipata pigo na kushindwa vibaya huko Afghanistan, na sasa inajaribu kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Jumuiya ya Kutetea Wahanga wa Ugaidi: Ugaidi unatumiwa kulinda maslahi ya madola ya kibeberu
Oct 17, 2021 02:26Jumuiya ya Kutetea Wahanga wa Ugaidi yenye makao yake nchini Iran imetangaza kuwa, ugaidi umekuwa ukitumiwa kama fimbo na wenzo wa kulinda na kupanua maslahi ya madola ya kibeberu na wala hauna mfungamano na dini wala madhehebu yoyote ya dini.
-
Hofu ya Baraza la Usalama ya kuenea ugaidi barani Afrika
Aug 21, 2021 02:28Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimeleeza wasi wasi wao juu ya kuenea harakati za makundi ya kigaidi katika nchi za Afrika.