-
ISIS yadai kuhusika na shambulio lililoua na kujeruhi makumi Nigeria
Mar 14, 2021 03:40Kundi la kigaidi la ISIS tawi la Afrika Magharibi limetangaza kuhusika na shambulio dhidi ya msafara wa magari ya kijeshi lililoua na kujeruhi watu zaidi ya 30 huko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Makumi ya wafungwa wauawa katika shambulizi la Daesh huko Afghanistan, madazani wajeruhiwa
Aug 03, 2020 10:58Zaidi ya watu 21 wameuawa katika shambulizi lililofanywa usiku wa kuamkia leo na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh katika jela moja iliyoko katika mji wa Jalalabad nchini Afghanistan.
-
Magaidi wa ISIS kaskazini mwa Afghanistan wahamishwa kwa helikopta zisizo na alama
Aug 02, 2018 08:11Mwanachama wa Baraza la Mkoa wa Jozjan nchini Afghanistan amefichua kuwa magaidi wa kundi la ISIS au Daesh ambao wameshindwa katika mkoa huo hivi sasa wameanza kutoroka.
-
Kufichuka ushirikiano mkubwa baina ya Israel na magaidi wakufurishaji
Mar 17, 2017 02:58Ripoti zimeenea kuhusu ushirikiano mkubwa uliopo baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na magaidi wenye misimamo mikali ya ukufurishaji.
-
Global Research yatoa orodha ya waungaji mkono wa kimataifa wa DAESH (ISIS)
Dec 01, 2016 15:47Kituo cha habari cha Magharibi cha Global Reserach kimefichua katika ripoti yake mpya majina ya waungaji mkono wa kimataifa wa makundi ya kigaidi.
-
Zaidi ya magaidi 1000 wa Daesh waangamizwa mkoani al-Anbar, Iraq
Aug 30, 2016 04:00Mamia ya wapiganaji wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameangamizwa katika operesheni za kulisafisha eneo la al-Khalidiyyah mkoania al-Anbar nchini Iraq.
-
Polisi ya Russia yatokomeza kundi la kigaidi lenye mahusiano na Daesh mjini Moscow
Aug 11, 2016 13:35Vyombo vya usalama nchini Russia vimeripoti kuangamizwa kundi la kigaidi lenye mafungamano na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika mji mkuu wa nchi hiyo, Moscow.
-
Iraq yapinga tena uingiliaji wa Saudia na Uturuki nchini humo
Jun 12, 2016 14:08Serikali ya Iraq imelalamikia hatua ya watawala wa Saudi Arabia ya kukusanya misaada ya kifedha kwa ajili ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Waliovamia Msikiti Mwanza na kuua watu walikuwa na bendera za ISIS (Daesh)
May 20, 2016 16:27Genge la watu waliouhujumu msikiti mmoja wa mjini Mwanza kaskazini mwa Tanzania Jumatano usiku na kutekeleza mauaji walikuwa na bendera za kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
-
Uhispania: Kuna udharura wa kila nchi kupambana na Daesh
Mar 25, 2016 07:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania, José Manuel García-Margallo amezitaka nchi zote duniani kupambana vilivyo na kundi la kigaidi la Daesh kwa ajili ya kukomesha tatizo hilo.