-
Balozi wa Iran UN: Maghala ya nyuklia ya Israel ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa dunia
Sep 05, 2024 10:43Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa kikanda na wa ulimwengu mzima.
-
Muhammad Eslami: Sera za milango wazi zipo katika ajenda ya kazi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Aug 09, 2024 02:47Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa nchi za Magharibi zinaituhumu Iran kuwa inaficha sekta yake ya nyuklia, ilhali Tehran inatekeleza sera za milango wazi katika ajenda yake.
-
Gharama za mradi wa makombora ya nyuklia ya US zafikia dola bilioni 160
Jul 06, 2024 11:21Gharama za kufanikisha mradi wa kuzalisha makombora ya nyuklia wa Marekani zimeripotiwa kuongezeka hadi dola bilioni 160.
-
Russia: Hatari ya kutokea vita vya nyuklia inazidi kuongezeka
Jun 26, 2024 11:49Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametahadharisha kuwa, madola yenye silaha za nyuklia yapo katika hatari ya kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja.
-
"Vitisho vya nyuklia vya Israel vitabadilisha mlingano wa usalama katika eneo"
May 27, 2024 02:20Katibu wa Baraza la Kistratajia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema vitisho vinavyotolewa na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel vya kutumia silaha za nyuklia huenda vikawalazimisha wengine kuangalia upya sera zao za nyuklia katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran: Tutaangalia upya sera ya nyuklia iwapo uwepo wetu utatishiwa
May 10, 2024 02:10Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu italazimika kuangalia upya kanuni yake ya nyuklia iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatishia uwepo na usalama wa taifa hili.
-
Grossi asisitiza tena kutokuwepo shughuli za kijeshi za nyuklia nchini Iran
Apr 17, 2024 02:28Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesisitiza kuwa, hakuna nyaraka zozote zinazothibitisha utengenezaji wa silaha za nyuklia nchini Iran na kuwa, mivutano ya hivi sasa haijavuruga mchakato wa ufuatiliaji wa wakala huo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran.
-
Kutolewa pendekezo la kuanzisha klabu ya nyuklia ya BRICS kwa kuishirikisha Iran
Mar 27, 2024 12:21Mkutano wa 13 wa kimataifa wa Atomexpo 2024 huko Sirius, Russia umetoa pendekezo la kuasisi klabu ya nyuklia ya nchi wanachama wa kundi la BRICS kwa kuishirikisha Iran.
-
Msemaji wa AEOI: Iran inahitaji vituo 20 vya nyuklia
Mar 23, 2024 07:45Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema Jamhuri ya Kiislamu inapasa kuwa na vituo kati ya 15 na 20 vya nyuklia ili kujidhaminia mahitaji yake ya nishati.
-
Putin aonya juu ya hatari "halisi" ya vita vya nyuklia baina ya Russia na Magharibi
Mar 01, 2024 06:47Rais Vladmir Putin wa Russia ameziambia nchi za Magharibi kuwa, ziko hatarini kuzusha vita vya nyuklia iwapo zitatuma wanajeshi kupigana nchini Ukraine, akionya kwamba Moscow ina silaha za kushambulia maeneo ya Magharibi.