-
Putin aonya juu ya hatari "halisi" ya vita vya nyuklia baina ya Russia na Magharibi
Mar 01, 2024 06:47Rais Vladmir Putin wa Russia ameziambia nchi za Magharibi kuwa, ziko hatarini kuzusha vita vya nyuklia iwapo zitatuma wanajeshi kupigana nchini Ukraine, akionya kwamba Moscow ina silaha za kushambulia maeneo ya Magharibi.
-
Rais Raisi: Ni haki ya taifa la Iran kunufaikia na matumizi ya amani ya nishati ya nyuklia
Feb 08, 2024 03:03Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza na mabalozi wa nchi mbalimbali waliopo hapa Tehran na kutilia mkazo wajibu wa kila taifa kufaidika na nishati ya nyuklia kwa matumizi ya amani na kwamba ni haki ya taifa la Iran pia kunufaika na nishati hiyo.
-
de Volkskrant: Uholanzi ilihusika katika hujuma ya virusi vya Stuxnet ya Marekani, Israel dhidi ya Iran
Jan 09, 2024 07:52Gazeti la de Volkskrant la Uholanzi limeripoti kuwa, raia mmoja wa nchi hiyo alihusika moja kwa moja katika operesheni ya Marekani na Wazayuni ya kuhujumu kituo cha nyuklia cha Natanz nchini Iran.
-
Eslami: Maadui wameshindwa kuzuia ustawi wa sekta ya nyuklia ya Iran kwa vikwazo
Dec 14, 2023 02:41Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema maadui wameshindwa kuzima ustawi wa mradi wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu wenye malengo ya amani kupitia vikwazo haramu.
-
Eslami: IAEA iache kuingiza siasa kwenye kesi ya Iran
Nov 23, 2023 03:07Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) ameutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ujiepushe na tabia ya kuingiza siasa kwenye faili la nyuklia la Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran: Wakaguzi wa IAEA wametimuliwa kutokana na mienendo ya uhasama
Oct 04, 2023 13:20Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) waliofukuzwa hapa nchini wanatoka katika nchi tatu za Ulaya; na kwamba walitumuliwa kutokana na mienendo yao ya kiuhasama na misimamo ya kisiasa dhidi ya Tehran.
-
Qatar yataka vituo vya nyuklia vya Israel vikaguliwe na IAEA
Oct 01, 2023 02:38Qatar imetaka vituo vya nyuklia vya utawala wa Israel viwe chini usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) huku utawala huo ukiendelea kupuuza kanuni za kimataifa za nyuklia.
-
Papa: Dunia ipo katika ncha ya kutumbukia kwenye vita vya nyuklia
Sep 20, 2023 07:17Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia duniani.
-
Eslami: Wamagharibi wameikubali Iran ya nyuklia
Mar 10, 2023 02:27Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa leo hii Wamagharibi wameikubali Iran kuwa nchi yenye nishati ya nyuklia na kusisitiza kuwa, chaguo pekee lililobakia kwa Magharibi ni kukabiliana na Iran kidiplomasia.
-
Iran kuanza kuuza bidhaa za nyuklia nje ya nchi
Feb 26, 2023 11:41Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) ametangaza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inajiandaa kuanza kusafirisha nje ya nchi bidhaa zake za nyuklia, zikiwemo za tiba.