Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ya nyuklia

  • Iran: Wakaguzi wa IAEA wametimuliwa kutokana na mienendo ya uhasama

    Iran: Wakaguzi wa IAEA wametimuliwa kutokana na mienendo ya uhasama

    Oct 04, 2023 09:50

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) waliofukuzwa hapa nchini wanatoka katika nchi tatu za Ulaya; na kwamba walitumuliwa kutokana na mienendo yao ya kiuhasama na misimamo ya kisiasa dhidi ya Tehran.

  • Qatar yataka vituo vya nyuklia vya Israel vikaguliwe na IAEA

    Qatar yataka vituo vya nyuklia vya Israel vikaguliwe na IAEA

    Sep 30, 2023 23:08

    Qatar imetaka vituo vya nyuklia vya utawala wa Israel viwe chini usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) huku utawala huo ukiendelea kupuuza kanuni za kimataifa za nyuklia.

  • Papa: Dunia ipo katika ncha ya kutumbukia kwenye vita vya nyuklia

    Papa: Dunia ipo katika ncha ya kutumbukia kwenye vita vya nyuklia

    Sep 20, 2023 03:47

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia duniani.

  • Eslami: Wamagharibi wameikubali Iran ya nyuklia

    Eslami: Wamagharibi wameikubali Iran ya nyuklia

    Mar 09, 2023 22:57

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa leo hii Wamagharibi wameikubali Iran kuwa nchi yenye nishati ya nyuklia na kusisitiza kuwa, chaguo pekee lililobakia kwa Magharibi ni kukabiliana na Iran kidiplomasia.

  • Iran kuanza kuuza bidhaa za nyuklia nje ya nchi

    Iran kuanza kuuza bidhaa za nyuklia nje ya nchi

    Feb 26, 2023 08:11

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) ametangaza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inajiandaa kuanza kusafirisha nje ya nchi bidhaa zake za nyuklia, zikiwemo za tiba.

  • Kamalvandi: Shutuma za IAEA dhidi ya Iran 'zimechochewa kisiasa'

    Kamalvandi: Shutuma za IAEA dhidi ya Iran 'zimechochewa kisiasa'

    Feb 24, 2023 04:29

    Ripoti zisizoisha za Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) zinazotoa shutuma za uwongo na zisizo na msingi dhidi ya mpango wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran "zina msukumo wa kisiasa" ili kuishinikiza nchi hii.

  • Eslami: Maafisa wa IAEA wako Tehran kwa ajili ya ukaguzi na kufanya mazungumzo

    Eslami: Maafisa wa IAEA wako Tehran kwa ajili ya ukaguzi na kufanya mazungumzo

    Feb 22, 2023 23:03

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema: "Maafisa wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) wamekuwa wakifanya mazungumzo, kutembelea na kukagua vituo vya nyuklia vya Iran tangu Jumanne iliyopita."

  • Jibu kali la Iran kwa taarifa ya pamoja ya US na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Jibu kali la Iran kwa taarifa ya pamoja ya US na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Feb 18, 2023 22:55

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametupilia mbali maelezo yaliyomo kwenye taarifa ya kikao cha tatu cha jopo kazi la pamoja la Marekani na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na kueleza kwamba kutolewa taarifa kama hiyo kunaendana na mkakati wa muda mrefu wa utawala wa Marekani wa kuzusha mfarakano kati ya nchi za eneo hili. 

  • Mwanafalsafa: Dunia ipo katika ncha ya kutumbukia kwenye tatizo lisilotatulika

    Mwanafalsafa: Dunia ipo katika ncha ya kutumbukia kwenye tatizo lisilotatulika

    Jan 22, 2023 04:08

    Mwanafalsafa mashuhuri wa Marekani ameonya kuwa, dunia ipo katika ncha ya kutumbukia kwenye uhabaribifu na janga kubwa ambalo litakuwa muhali kulirekebisha.

  • Russia: Hakuna ushahidi Iran inataka kuunda silaha za nyuklia

    Russia: Hakuna ushahidi Iran inataka kuunda silaha za nyuklia

    Nov 30, 2022 07:20

    Afisa mmoja wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema hakuna ithibati wala ushahidi wowote unaoashiria kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataka kuzalisha silaha za nyuklia au kutazama upya uanachama wake katika Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia NPT.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS