-
Wananchi wa Zimbabwe wapiga kura kuchagua rais na wabunge
Aug 23, 2023 10:20Wananchi wa Zimbabwe waliotimiza masharti ya kupiga kura, mapema leo Jumatano wamelekea katika vituo vya kupigia kura kushiriki uchaguzi utakaoamua iwapo Rais wa sasa Emmerson Mnangagwa atashinda muhula wake wa pili na wa mwisho au la.
-
Rais Raisi: Afrika ni bara la fursa ambazo hazipasi kupuuzwa
Jul 14, 2023 12:00Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu amesisitiza haja ya kukuza uhusiano na mataifa ya Afrika, akilielezea bara hilo kama ardhi ya fursa na kwamba uwezo wake haupasi kupuuzwa.
-
Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika
Jul 14, 2023 02:14Rais Ibrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu jana Alkhamisi aliwasili Harare mji mkuu wa Zimbabwe ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo akiwemo mwenyeji wake, Rais Emerson Mnangagwa.
-
Rais wa Iran awasili Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari yake ya kiduru Afrika
Jul 13, 2023 10:01Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewesili Harare mji mkuu wa Zimbabwe kikiwa ni kituo chache cha tatu na cha mwisho katika safari yake hii ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika.
-
Rais Raisi: Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara
Jul 13, 2023 14:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe kuwa Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara.
-
Raisi aondoka Kampala kuelekea ziarani Harare
Jul 13, 2023 08:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Alhamisi ameondoka Kampala na kuelekea Harake mji mkuu wa Zimbabwe baada ya kukamilisha ziara huko Uganda.
-
Rais wa Zimbabwe aahidi uchaguzi wa Rais utakuwa huru na wa haki
Apr 20, 2023 01:28Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameonya dhidi ya sauti za kigeni au za ndani, ikiwa ni pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali yasiyo ya uaminifu ambayo yanachochea migawanyiko na mifarakano.
-
Zimbabwe kujinaisha kuajiriwa wafanyakazi wake wa afya katika nchi za kigeni
Apr 07, 2023 02:21Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Constantino Chiwenga, ametangaza kuwa nchi hiyo inakusudia kuanzisha sheria ambayo itafanya kuwa kinyume cha sheria kwa mataifa mengine kuajiri wafanyikazi wake wa afya.
-
Wazimbabwe wakasirishwa na baadhi ya shakhsia wa karibu na serikali kujihusisha na magendo ya dhahabu
Mar 30, 2023 11:40Dokumentari iliyoandaliwa na televisheni ya al Jazeera yenye makao yake mjini Doha huko Qatar ambaye imefichua namna watu walio na uhusiano na serikali ya Zimbabwe na chama tawala wanavyotorosha madini ya dhahabu, imeibua hasira miongoni mwa wananchi nchini humo.
-
Wafungwa sita wa Zimbabwe watoroka kizuizini Afrika Kuisini, polisi inawasaka washukiwa
Mar 14, 2023 11:41Polisi ya Afrika Kusini imetangaza kuwa imeanzisha msako wa kuwasaka washukiwa "wenye silaha nzito" ambao wamewaachilia huru wafungwa sita katika mapigano makali ya risasi.