-
Mwili wa Robert Mugabe, kuagwa leo na maelfu ya Wazimbabwe
Sep 11, 2019 23:50Raia wa Zimbabwe watauaga mwili wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, hayati Robert Mugabe Alkhamisi ya leo.
-
Rambirambi zaendelea kutolewa kufuatia kifo cha Robert Mugabe
Sep 06, 2019 22:02Viongozi mbalimbali wa dunia wameendelea kutuma salamu zao za ramabirambi kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe kilichotokea jana huko nchini Singapore.
-
Kuongezeka matatizo ya kiuchumi; kuanza maandamano nchini Zimbabwe
Aug 17, 2019 21:54Kuongezeka matatizo ya kiuchumi nchini Zimbabwe na kutotekelezwa ahadi zilizotolewa na Rais Emmerson Mnangagwa wa nchi hiyo katika uwanja huo kumepelekea makumi ya maelfu ya Wazimbabwe kuandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare kulalamikia siasa za kiuchumi za serikali.
-
Polisi Zimbabwe yawapiga waandamanaji Harare, yapiga marufuku maandamano dhidi ya serikali
Aug 16, 2019 10:44Polisi nchini Zimbabwe leo Ijumaa imetumia gesi ya kutoa machozi na kuwapiga makumi ya wafuasi wa upinzani waliokuwa wameandamana katikati ya mji mkuu wa nchi hiyo, Harare.
-
WFP: Zimbabwe inakabiliwa na baa kubwa zaidi la njaa
Aug 07, 2019 23:07Zimbabwe inakabiliwa na janga baya zaidi la la njaa kuwahi kuikumba nchi hiyo na msaada wa haraka unahitajika ili kunusuru maisha ya mamailioni ya watu.
-
UNICEF: Watoto milioni 1.5 wanahitaji msaada kusini mwa Afrika kufuatia Kimbunga Idai
Apr 15, 2019 03:18Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, limetoa ombi la dola milioni 1.6 kusaidia watoto takribani milioni 1.5 ambao wameathiriwa vibaya na Kimbunga Idai katika nchi za kusini mwa Afrika ambazo ni Msumbiji, Malawi na Zimbabwe.
-
Kimbunga Idai kimeua watu 268 Zimbabwe, mamia hawajulikani waliko
Apr 03, 2019 22:12Waziri wa habari wa Zimbabwe Bibi Monica Mutsvangwa amesema, watu 268 wamethibitishwa kufariki na mamia ya wengine hawajulikani walipo kufuatia kimbunga Idai kilichoshambulia sehemu ya mashariki ya nchi hiyo katikati ya mwezi uliopita.
-
Waliofariki dunia katika Kimbunga Idai wafika 746, maelfu wapoteza makazi
Mar 30, 2019 11:30Mamia ya maelfu ya watu wanahitaji misaada ya dharura ya chakula, maji na makazi baada ya Kimbunga Idai kusababisha uharibifu mkubwa Msumbiji, Zimbabwe na Malawi.
-
Kimbunga cha Idai chaua zaidi ya watu 100 Zimbabwe na Msumbiji
Mar 18, 2019 04:26Watu zaidi ya 100 wameaga dunia na wengine wengi hawajulikani waliko katika nchi za Msumbiji na Zimbabwe baada ya kimbunga cha tropiki cha Idai kuzikumba nchi hizo za kusini mwa Afrika na kusababisha mafuriko ya gharika na pepo kali.
-
Kimbunga Idai chaua watu 24 Zimbabwe na kusababisha uharibifu mkubwa
Mar 16, 2019 11:10Watu wasiopungua 24 wamepoteza maisha kusini mashairki mwa Zimbabwe huku madaraja yakisombwa na maji baada ya kimbunga Idai kuikumba nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.