-
Hatua ya Yemen ya Kuiwekea Saudi Arabia Mzingiro wa Majini: Sababu na Matokeo
Jul 23, 2026 07:15Msemaji wa Jeshi la Yemen ametangaza marufuku ya usafiri wa meli na kuweka mzingiro wa majini dhidi ya Saudi Arabia, kwa kuzingatia kanuni ya "mzingiro kwa mzingiro."
-
'Hatuogopi kuuawa shahidi': Mkuu mpya wa Hamas atoa ujumbe wa kwanza
Jul 22, 2026 03:05Khalil al-Hayya, mkuu mpya wa Idara ya Siasa ya Hamas, ametangaza katika ujumbe wake wa kwanza kama kiongozi wa harakati hiyo kwamba muqawama wa Palestina hautatishwa na mauaji ya wanawe au mauaji ya makamanda wake.
-
Yemen yaonya Saudi Arabia kuhusu ‘matokeo mabaya’ iwapo uchokozi na kuzingirwa vitaendelea
Jul 21, 2026 11:28Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen imeonya utawala wa Saudi Arabia kuhusu “matokeo mabaya na makubwa” iwapo utaendelea kuongeza mashambulizi yake kwa kulenga miundombinu ya kiraia, na kuimarisha sera ya kuzingira bandari na viwanja vya ndege nchini Yemen.
-
Israel yafanya uharibifu mkubwa kusini mwa Lebanon huku ndege zisizo na rubani zikiruka katika anga ya Beirut
Jul 21, 2026 03:09Jeshi la Israel jana lilifanya operesheni kubwa ya ubomoaji kusini mwa Lebanon siku ya Jumatatu huku ndege zisizo na rubani za utawala huo ghasibu zikiruka katika anga ya mji mkuu wa chi hiyo Beirut na vitongoji vyake.
-
Ansarullah: Mzingiro wa baharini dhidi ya Saudia ni matokeo ya kukataa Riyadh kutoa jibu kwa matakwa halali ya Yemen
Jul 21, 2026 02:58Mohammed Abdulsalam, Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Yemen, amesisitiza kuwa tangazo la vikosi vya ulinzi vya Yemen kuhusu marufuku ya usafiri wa baharini dhidi ya Saudi Arabia ilikuwa hatua ambayo Sana'a ililazimika kuichukua kujibu hatua ya Riyadh kukataa kujibu kwa njia ya amani matakwa halali ya Yemen.
-
Ndege za Marekani za kuongeza mafuta angani zahamishiwa Israel kwa hofu ya mashambulizi ya Iran
Jul 20, 2026 10:59Ndege za Marekani za kuongeza mafuta angani (refuelling aircraft) zimehamishiwa katika eneo la Palestina inayokaliwa, kutokana na hofu ya mashambulizi yanayoweza kufanywa na Iran.
-
Walowezi wa Kizayuni wachoma moto nyumba mbili na msikiti wa Wapalestina
Jul 20, 2026 10:33Walowezi wa Kizayuni wamechoma moto nyumba mbili pamoja na msikiti mmoja wa Wapalestina, katika tukio lililotajwa kuwa sehemu ya mashambulizi dhidi ya mali za Wapalestina.
-
Askari mwingine wa Marekani auawa nchini Iraq huku idadi ya majeruhi ikipanda katika vita na Iran
Jul 20, 2026 04:10Jeshi la Marekani limekiri Jumapili kwamba askari wake mwingine ameuawa kufuatia shambulio la ndege isiyo na rubani ya Iran, huku operesheni za kulipiza kisasi za Jamhuri ya Kiislamu zikiendelea kuwasababishia hasara kubwa askari wa jeshi katili Marekani katika kanda nzima.
-
Wanazuoni wa Bahrain waonya kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu
Jul 20, 2026 04:09Wanazuoni wa Bahrain wametoa onyo kuhusu kuendelea ukiukwaji wa haki za binadamu nchini humo, wakisema hali hiyo inazidi kuzorota na kuhatarisha haki za msingi za wananchi.
-
Waziri wa zamani wa Vita wa Israel: Tulishindwa kufikia malengo katika vita dhidi ya Iran
Jul 20, 2026 04:06Moshe Ya'alon, Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Israel, amekiri kuwa mashambulizi yaliyoelekezwa dhidi ya Iran hayakufanikiwa kufikia malengo yaliyokuwa yamekusudiwa.