Asia Magharibi
  • Kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Wanawake: Zaidi ya wanawake 12,000 wa Kipalestina wameuawa katika vita vya Gaza

    Kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Wanawake: Zaidi ya wanawake 12,000 wa Kipalestina wameuawa katika vita vya Gaza

    Mar 08, 2025 09:24

    Idara ya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa: Wanawake 12,316 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika vita vya mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya watu wa Gaza.

  • Sasa Trump ameelewa, HAMAS haimuogopi

    Sasa Trump ameelewa, HAMAS haimuogopi

    Mar 08, 2025 07:51

    Mchambuzi mmoja mashuhuri wa ulimwengu wa Kiarabu amesema: "Kulazimika Donald Trump kuomba kufanya mazungumzo ni matokeo ya kufeli na kukata tamaa serikali yake katika njama zake za kuilazimisha Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS itii amri zake.

  • OIC yalaani njama za kuhamishwa kwa nguvu Wapalestina Ghaza

    OIC yalaani njama za kuhamishwa kwa nguvu Wapalestina Ghaza

    Mar 08, 2025 07:51

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa rasmi mwishoni mwa kikao chake cha mjini Jeddah, Saudi Arabia na kulaani kwa nguvu zote njama za Marekani na Israel za kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza.

  • Nini kinaendelea Syria? Taasisi za kimataifa kimya!

    Nini kinaendelea Syria? Taasisi za kimataifa kimya!

    Mar 08, 2025 07:47

    Ukimya wa taasisi za kimataifa kuhusiana na mauaji ya umati dhidi ya raia nchini Syria yanayofanywa na viongozi wenye mafungamano na utawala wa al-Julani kwa mara nyingine tena unathibitisha undumilakuwili wa taasisi hizo.

  • Askari wa Israel wavamia misikiti mjini Nablus na kuzuia Swala ya Ijumaa

    Askari wa Israel wavamia misikiti mjini Nablus na kuzuia Swala ya Ijumaa

    Mar 07, 2025 07:31

    Vikosi vya jeshi la Israel vimevamia misikiti kadhaa katika mji mkongwe wa Nablus, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kuzuia kuswaliwa Swala ya Ijumaa.

  • 70 wauawa katika mapigano baina ya pande kinzani Syria

    70 wauawa katika mapigano baina ya pande kinzani Syria

    Mar 07, 2025 07:28

    Zaidi ya watu 70 wameripotiwa kuuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa nchini Syria kutokana na mapigano makali kati ya wanamgambo wa kundi la kigaidi linalotawala la Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) na makundi ya Muqawama ya wananchi huko magharibi mwa nchi hiyo.

  • Jeshi la Israel launda kifaa cha AI cha kuwajasisi Wapalestina

    Jeshi la Israel launda kifaa cha AI cha kuwajasisi Wapalestina

    Mar 07, 2025 07:27

    Uchunguzi mpya umefichua kuwa, kitengo cha ujasusi wa kielektroniki cha jeshi la Israel cha 8200 kimetumia mkusanyiko mkubwa wa mawasiliano yaliyonaswa kutengeneza chombo cha kijasusi cha Akili Mnemba (AI) ambacho modeli yake inashabihiana na ChatGPT, kwa lengo la kuwachunguza na kuwafanyia ujasusi wananchi wa Palestina.

  • Netanyahu awazidishia vizuizi Wapalestina vya kusali Ijumaa Msikiti wa Al-Aqsa mwezi wa Ramadhani

    Netanyahu awazidishia vizuizi Wapalestina vya kusali Ijumaa Msikiti wa Al-Aqsa mwezi wa Ramadhani

    Mar 07, 2025 04:05

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameidhinisha vizuizi vikali vya kuwekewa Waislamu Wapalestina kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa kwa ajili ya Sala ya Ijumaa wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • HAMAS yasema imejiandaa 'kwa chochote kitachotokea' baada ya 'onyo la mwisho' alilotoa Trump

    HAMAS yasema imejiandaa 'kwa chochote kitachotokea' baada ya 'onyo la mwisho' alilotoa Trump

    Mar 07, 2025 00:02

    Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza kwamba, zimejiandaa kwa "chochote kitachotokea" na zingali ziko kwenye hali ya "tahadhari kamili", zikisisitiza kuwa, vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel vya kuanzisha tena vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza havitatoa hakikisho kwa utawala huo dhalimu la kuweza kuwakomboa mateka wake.