-
Wapalestina wasisitiza haki ya kujilinda huku Gaza ikitimiza siku 1,000 za mauaji ya kimbari
Jul 03, 2026 08:25Makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina yamesisitiza kuhusu “haki ya Wapalestina kupinga uvamizi kwa namna yoyote ile” na kukataa “usimamizi wowote wa kigeni” katika mambo ya ndani ya Palestina, wakati Gaza ikifikisha siku ya 1,000 ya mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala katili Israel ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya Wapalestina wasipungua 73,000.
-
Israel yatuma zana za kijeshi Somalia kupitia Nairobi
Jul 03, 2026 03:29Vyanzo vya ngazi ya juu vya kimkakati katika kanda vimeeleza kuwa shehena ya zana za kijeshi iliyotoka katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel imesafirishwa hadi Somalia kwa jina la ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN).
-
Wanajeshi katili wa Israel wamuuwa kipa Mpalestina huko Gaza
Jul 02, 2026 11:43Wanajeshi wa Israel wameuuwa shahidi kwa risasi kipa wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza, na hivyo kuifanya idadi ya wanamichezo waliouliwa shahidi na jeshi la Israel kufikia 1,009.
-
Namna Watoto Wachanga wa Kipalestina Walivyogeuzwa Kuwa Walengwa wa Jinai za Kivita
Jul 02, 2026 10:36Ripoti mpya ya Tume Huru ya Kimataifa ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel imefichua mwelekeo mpya wa vita kwa kuwasilisha ushahidi wa kulengwa kimfumo watoto wachanga huko Gaza.
-
Wabunge wa Israel warushiana makonde ndani ya ukumbi wa Bunge
Jul 01, 2026 03:35Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimeripoti kutokea vurugu na mapigano ndani ya Bunge la utawala huo (Knesset), kufuatia kufutwa sheria iliyokuwa inahusu wafungwa wa Kipalestina.
-
Oman yaunga mkono mpango wa Iran wa kutoza ‘ada za huduma’ katika Lango la Hormuz
Jun 30, 2026 11:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman, Badr al-Busaidi, ametangaza msimamo wa nchi yake kuunga mkono mpango wa Iran wa kuanzisha utaratibu wa “ada za huduma za baharini” kwa meli zinazopita katika Lango Bahari la Hormuz.
-
Mjumbe wa Palestina ataka jumuiya ya kimataifa izuie hatua za Israel za kupora ardhi ya Palestina
Jun 30, 2026 11:21Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa kuacha kauli za kulaani pekee na badala yake kuchukua hatua za kivitendo ili kusitisha mpango wa Israel wa kupora ardhi za Palestina.
-
Kwa nini makubaliano ya Washington yamefungua njia ya fitina mpya nchini Lebanon?
Jun 30, 2026 05:53Nabih Berri, Spika wa Bunge la Lebanon ametahadharisha kuhusu njama mpya dhidi ya Lebanon akiashiria makubaliano ya Washington kati ya serikali ya Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuwahutubu wananchi wa nchi hiyo kwa kusema: "Enyi watu wa Lebanon, hii ni njama hatari."
-
Hamas: Kimya cha dunia kuhusu watoto wa Kipalestina waliouawa Gaza ni kushiriki katika mauaji ya kimbari ya Israel
Jun 30, 2026 03:46Katika taarifa yake Jumatatu usiku, msemaji wa Hamas, Hazem Qassem, alisema kwamba mtoto wa Kipalestina asiye na hatia aliyeuawa jana na jeshi la Israel ndiye mwathirika wa hivi karibuni zaidi miongoni mwa makumi ya maelfu ya watoto wa Kipalestina waliouawa katika mashambulizi ya mabomu ya Wazayuni, njaa, kunyimwa huduma za matibabu, ugaidi na kutokana na huzuni ya kufiwa na wazazi wao.
-
Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo
Jun 29, 2026 12:27Iran na Oman zimefanya mkutano wa kwanza wa kamati mpya ya pamoja ya Hormuz, unaojadili usimamizi wa baadaye wa Lango-Bahari la Hormuz.