-
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lakaribisha mazungumzo ya Iran na Marekani
Feb 07, 2026 08:25Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi limetangaza kuwa, limekaribisha kwa mikono miwili mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani yaliyofanyika Muscat Oman.
-
Zaidi ya wagonjwa 11,000 wa saratani Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na kifo
Feb 06, 2026 23:15Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Al-Dameer amekosoa vikali utaratibu wa sasa wa kivuko cha Rafah, akikiita "tasa na hatari" na kuonya kwamba utaratibu wa sasa umesababisha ongezeko lisilotarajiwa la idadi ya vifo miongoni mwa wagonjwa wa saratani katika Ukanda wa Gaza.
-
Olmert akiri: Maangamizi ya kizazi cha Wapalestina yanafanyika Ukingo wa Magharibi
Feb 06, 2026 06:40Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa kizayuni wa Israel Ehud Olmert amekiri kwamba polisi, jeshi na Shirika la Usalama wa Ndani la utawala huo (Shabak) wanahusika katika mashambulizi yaliyopangwa na walowezi dhidi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi, akielezea vitendo hivyo kama njama ya kijinai na utumiaji nguvu ya uangamizaji wa kizazi cha Wapalestina.
-
Euro-Med Monitor: EU ni mshiriki wa mauaji ya kimbari Gaza
Feb 06, 2026 02:53Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediteranean Human Rights Monitor (Euro-Med Monitor) lenye makao yake makuu huko Geneva, Uswisi limekosoa vikali msimamo wa Umoja wa Ulaya kwa kuweka masharti yasiyotekelezeka kwa ajili ya ujenzi mpya wa Gaza.
-
Hamas yalaani mashambulizi ya Israel Ukanda wa Gaza; Netanyahu amekusudia kukwamisha mapatano
Feb 05, 2026 23:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani mashambulizi makubwa ya anga ya Israel katika Ukanda wa Gaza yaliyouwa shahidi Wapalestina 23 tangu ustishaji vita wa Oktoba mwaka jana na ksuema kuwa hujuma hiyo ya utawala wa Kizayuni inathibitisha kuwa namna Israel inavyoendeleza kampeni yake ya mauaji ya kimbari.
-
Human Rights Watch: Israel inafanya mauaji ya halaiki Ukanda wa Gaza
Feb 05, 2026 08:09Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, utawala wa Israel unafanya mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza, Palestina.
-
Guardiola apaza sauti tena kuhusu mauaji ya kimbari ya Ghaza na dhulma inayotawala duniani
Feb 05, 2026 02:35Kocha wa timu ya soka ya Manchester City, Pep Guardiola, amesema mauaji ya watu wasio na hatia duniani kote yanamuathiri sana na amewahimiza walimwengu wasinyamazie kimya dhulma zinazofanywa.
-
Vita vya kieneo; maana yake na jinsi vinavyotokea
Feb 04, 2026 23:02Kwa mujibu wa ripoti ya Pars Today, kutokana na uchochezi na vitisho vya mara kwa mara vya Marekani dhidi ya Iran, Tehran imeonya kwamba shambulio lolote la kijeshi kutoka Marekani dhidi ya Iran litasababisha kuwashwa moto wa vita vya eneo. Sasa swali linaibuka: vita vya eneo ni nini na vinafanyika vipi?
-
Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina, yaua 20 Gaza
Feb 04, 2026 06:53Mashambulizi mapya ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel yamewaua shahidi watu wasiopungua 20, wakiwemo watoto wadogo katika Ukanda wa Gaza.
-
Ni kwa sababu gani utawala wa kizayuni unakwamisha utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishaji vita Ghaza?
Feb 03, 2026 22:55Maelezo yaliyotolewa na maafisa wa Palestina na wa Umoja wa Mataifa yanaonyesha kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unakataa kutekeleza awamu ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano huko Ghaza.