-
Muqawama: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Nablus
Dec 18, 2022 07:10Makundi ya muqawama ya Palestina yamelaani mauaji ya mandugu wawili wa Kipalestina katika mji wa Nablus, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Utawala wa Israel waogopa kuona bendera ya Palestina ikipeperushwa
Dec 18, 2022 06:30Utawala wa Kizayuni umewakamata waandamanaji watatu waliokuwa wakipeperusha bendera za Palestina katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina la Israel.
-
Mfalme wa Abdallah wa Jordan: Hatua kali zitachukuliwa dhidi ya waibua fujo
Dec 18, 2022 00:44Mfalme wa Jordan amechukua msimamo mkali kufuatia maandamano ya wananchi yanayoendelea nchini humo na kuuliwa afisa wa ngazi ya juu wa polisi na kusisitiza kuwa: serikali itachukua hatua kali kwa yoyote atakayewashambulia askari usalama na mali za umma.
-
Kupitishwa azimio la UN la haki ya watu wa Palestina kuamua hatima yao wenyewe
Dec 18, 2022 00:43Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la haki ya taifa la Palestina ya kujiamulia hatima yake. Tangu mwaka 1948, Palestina imeshuhudia hali iliyopelekea kunyakuliwa eneo lake la kijiografia kwa kadiri kwamba hivi sasa asilimia 85 ya jiografia ya Palestina inakaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lathibitisha haki ya kujitawala ya Wapalestina
Dec 17, 2022 03:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York limepitisha kwa wingi mkubwa wa kura azimio la kuunga mkono haki ya kujitawala ya wananchi wa Palestina.
-
Israel kushirikiana na nchi tatu za Kiarabu katika kuunda "Mtambo wa Kuba la Chuma la Mtandao"
Dec 17, 2022 03:32Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na nchi tatu za Kiarabu za Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE), Bahrain na Morocco, zinapanga kuzindua mradi wa ulinzi wa anga unaoitwa Mtambo wa Kuba la Chuma la Mtandao, (Cyber Iron Dome).
-
Wapalestina elfu 70 waswali Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al -Aqsa
Dec 16, 2022 23:40Zaidi ya Wapalestina elfu 70 jana waliswali Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa al Aqsa.
-
Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Saudi Arabia; kipaumbele cha Netanyahu katika sera zake za kigeni
Dec 16, 2022 23:21Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel aliyepewa jukumu la kuunda baraza jipya la mawaziri la Israel amegusia katika mahojiano aliyofanyiwa na Shirika Rasmi la Habari la Saudia kuhusiana na uhusiano wa Riyadh na Tel-Aviv.
-
Katika vita vikali vya maneno, Pakistan yamwita waziri mkuu wa India 'Chinjachinja wa Gujarat'
Dec 16, 2022 08:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amemwita waziri mkuu wa India Narednra Modi "Chinjachinja wa Gujarat" baada ya waziri mwenzake wa India kuishutumu Pakistan kuwa "kitovu cha ugaidi" huku majirani hao wenye silaha za nyuklia wakikabiliana kwa vita vya maneno katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Israel yawakatia maji Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi
Dec 15, 2022 22:55Utawala haramu wa Israel umewafungia maji mamia ya Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.