-
Israel yawakatia maji Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi
Dec 15, 2022 22:55Utawala haramu wa Israel umewafungia maji mamia ya Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Baraza Kuu la UN lalaani tena uvamizi wa Israel huko Golan na Palestina
Dec 15, 2022 07:04Kwa mara nyingine tena Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio likisisitiza kuwa eneo la Golan linalokaliwa kwa mabavu na Israel ni milki ya Syria, na kwamba Wapalestina ndio wamiliki wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Syria yataka kuwepo kijeshi Marekani katika ardhi ya nchi hiyo kukomeshwe
Dec 15, 2022 03:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa ambayo sambamba na kulaani vitendo vya vikosi vamizi vya jeshi la Marekani, imetaka kukomeshwa uwepo haramu wa kijeshi wa Washington katika ardhi ya Syria.
-
Uchunguzi wa maoni: Hamas ndiyo inayostahili kuongoza Wapalestina
Dec 14, 2022 23:12Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanyika Palestina yanaashiria kuenea kwa ufisadi ndani ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina, kupungua sana umaarufu wa mamlaka hiyo na kupanda kwa nyota ya makundi ya wapiganaji wenye silaha kama Hamas na 'Arin al Usud (Pango la Simba).
-
Kutimia miaka 35 ya kuasisiwa HAMAS; mapambano na muqawama sambamba na siasa
Dec 14, 2022 23:06Miaka 35 imepita tangu ilipoasisiwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS. Harakati hiyo ya mapambano iliundwa katika Ukanda wa Gaza tarehe 14 Desemba 1987 na Sheikh Ahmad Yasin na viongozi kadhaa wa Ikhwanul-Muslimin.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Dec 14, 2022 04:20Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Mbunge wa Kizayuni afichua: 2023 Saudia na Israel zitasaini mkataba wa kuanzisha uhusiano rasmi
Dec 13, 2022 22:56Mbunge wa chama cha Likud katika Bunge la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, kwa kuzingatia mazungumzo yaliyofanyika, inatarajiwa kuwa makubaliano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya utawala huo na Saudi Arabia yatasainiwa mwaka ujao wa 2023.
-
Watoto wa Kiyemen ndio wahanga wakuu wa uvamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia na Imarati
Dec 13, 2022 22:55Takwimu zilizotolewa kuhusiana na uvamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia na Imarati dhidi ya Yemen zinaonyesha kuwa, watoto wa Kiyemeni ndio wahanga wakuu wa hujuma hiyo ya kijeshi.
-
Palestina: Jina la "Israel" liwekwe kwenye orodha ya tawala wauaji wa watoto
Dec 13, 2022 22:54Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameutaka Umoja wa Mataifa uliweke jina la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwenye orodha ya tawala wauaji wa watoto.
-
Watoto wa Kiyemeni wakusanyika mbele ya ofisi ya UN kupinga mauaji dhidi yao
Dec 13, 2022 07:27Sambamba na maadhimisho ya Siku ya Watoto Duniani, watoto wa Kiyemeni wamekuanyika mbele ya ofisi ya Umoja wa Mataifa huko Sana'a mji mkuu wa nchi hiyo wakipinga mauaji yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya watoto wa Yemen na kuzingirwa nchi yao.