-
Muqawama wa Palestina: Maandamano ya bendera ya Wazayuni yatawasha moto
May 27, 2022 02:28Makundi mbalimbali ya mapambano ya Kiislamu ya Palesitna yametoa mwito kwa Wapalestina kujitokeza kwa wingi kuulinda Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu, kama ambavyo pia yameonya kuhusu hatari ya maandamano ya bendera ya utawala wa Kizayuni kwa usalama wa eneo hili.
-
Jihadul-Islamu ya Palestina yalaani vikali safari ya waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Israel
May 26, 2022 22:03Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imelaani vikali safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na kukutana na viongozi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Nasrullah: Hatua yoyote dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa itapelekea kutokea mlipuko Asia Magharibi
May 25, 2022 23:32Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon sambamba na kuuonya utawala haramu wa Israel amesisitiza kuwa, hatua yoyote iliyo dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa italilipua eneo la Asia Magharibi.
-
Indhari ya Antonio Guterres kuhusu ukimbizi; Asia Magharibi kitovu cha mgogoro
May 25, 2022 23:23Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali mwenendo wa kulazimika watu wa mataifa mbalimbali kuyakimbia makazi yao na kuutaja ukimbizi kuwa ni mgogoro wa kisiasa.
-
Uturuki yazidi kustawisha uhusiano na Israel, waziri wake wa mambo ya nje awasili Tel Aviv
May 25, 2022 06:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amewasili uwanja wa ndege wa Ben Gurion mjini Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Mkuu wa maulamaa wa Iraq: Marekani inadhamini 85% ya silaha za DAESH (ISIS)
May 25, 2022 06:09Mkuu wa Muungano wa Maulamaa wa Kiislamu Iraq amesema, Marekani ndiyo inayodhamini asilimia 85 ya silaha za kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).
-
Jeshi la Yemen latungua ndege ya tatu ya kijasusi ya Saudi Arabia
May 25, 2022 02:54Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limefanikiwa kutungua droni yaani ndege isiyo na rubani ya Saudi Arabia katika eneo la kaskazini magharibi mwa Yemen.
-
HAMAS yawataka Wapalestina kujitokeza kwa wingi kuutetea Msikiti wa al-Aqswa
May 24, 2022 22:00Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewatolea wito Wapalestina wote kujitokeza kwa wingi katika msikiti wa al-Aqswa kwa ajili ya kulitetea eneo hilo takatifu.
-
Jeshi la Yemen latungua ndege ya kivita ya Saudia katika anga ya Sana'a
May 24, 2022 06:40Muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia umerusha ndege ya kivita isiyo na rubani katika anga ya mji mkuu wa Yemen, Sana'a kwa lengo la kutekeleza oparesheni za kichokozi lakini Jeshi la Yemen limefanikiwa kuitambua ndege hiyo vamizi ya adui na kuitungua papo hapo.
-
Upeo mpya katika uhusiano wa Iran na Oman kufuatia safari ya Raisi mjini Muscat
May 24, 2022 06:30Kufuatia safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Oman, upeo mpya umefunguliwa katika uhusiano na ushirikiano wa nchi hizi mbili.