-
Al-Azhar: Wanawake Waislamu ndio waathiriwa wakuu wa ubaguzi barani Ulaya
Jan 01, 2026 06:26Taasisi ya Kiislamu ya Al-Azhar nchini Misri imeonya kuhusu mashaka yanayowapata wanawake Waislamu barani Ulaya kutokana na ubaguzi.
-
Mamdani ala kiapo cha Umeya wa New York kwa kutumia Msahafu wa kihistoria wa karne 2 nyuma
Jan 01, 2026 03:42Zohran Mamdani leo amekuwa Meya wa kwanza wa Jiji kubwa zaidi la Marekani la New York kuapishwa kwa kutumia Kitabu kitakatifu cha Qur'ani ya Msahafu mkongwe na wa kihistoria wa tangu karne mbili zilizopita.
-
Ufaransa kupiga marufuku mitandao kwa walio chini ya miaka 15, kwenda na simu skuli za sekondari
Jan 01, 2026 02:11Ufaransa itachunguza katika mwezi huu wa Januari muswada unaokusudia kupiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 15 na uchukuaji wa simu za mkononi katika skuli za sekondari.
-
Radiamali ya Russia kwa vitisho vipya vya US, Israel dhidi ya Iran
Dec 31, 2025 06:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amejibu vitisho vya hivi karibuni vilivyotolewa na Rais wa Marekani na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran.
-
Araghchi: Wananchi wa Venezuela watalinda uhuru wao mkabala wa uhalifu wa US
Dec 30, 2025 22:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza upinzani wa moja kwa moja wa Tehran dhidi ya hatua yoyote ya vitisho dhidi ya ardhi, uhuru na mamlaka ya kujitawala Venezuela, akisisitiza kuwa ana imani kuwa taifa hilo la Amerika Kusini litalinda uhuru wake.
-
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lakemea Israel kwa kutambua 'Somaliland'
Dec 30, 2025 03:05Wengi wa wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamekemea hatua ya utawala wa Israel ya kutambua eneo la Somalia la Somaliland kama nchi huru. Baadhi ya mataifa yameeleza wasiwasi kuwa hatua hiyo inaweza kuathiri kwa kiwango kikubwa hali ya Wapalestina huko Gaza.
-
Khaleda Zia, Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa Bangladesh, afariki dunia akiwa na miaka 80
Dec 30, 2025 03:04Begum Khaleda Zia, aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke wa Bangladesh na kiongozi mashuhuri katika siasa za taifa hilo, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 80.
-
Ripoti: Hasara ya majanga ya hali ya hewa mwaka 2025 imezidi dola bilioni 120
Dec 29, 2025 23:15Ripoti mpya inaonyesha kwamba mawimbi ya joto yaliyovunja rekodi, vimbunga vya kitropiki na mvua zilizosababisha mafuriko makubwa kote duniani, vimeufanya mwaka unaomalizika wa 2025 kuwa moja ya miaka yenye hasara kubwa zaidi kwa majanga ya hali ya hewa, huku hasara za kiuchumi zikikadiriwa kuwa karibu dola bilioni 120.
-
Chuo Kikuu cha Georgetown, US chamfukuza Ripota wa UN aliyeanika jinai za Gaza
Dec 29, 2025 23:15Francesca Albanese, Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu amesema hatua ya Chuo Kikuu cha Georgetown cha Marekani ya kukata uhusiano naye ni sehemu ya vikwazo alivyowekewa na Washington kwa kufichua mauaji ya halaiki ya Israel huko Gaza, na ushiriki wa Marekani katika jinai hizo.
-
Ni kwa sababu gani Katibu Mkuu wa NATO anang'ang'ania Ulaya iendelee kuwa tegemezi kiulinzi kwa Marekani?
Dec 29, 2025 23:14Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO, Mark Rutte ameshikilia msimamo wa kutaka nchi za Ulaya ziendelee kuwa tegemezi kiulinzi kwa Marekani.