-
Cameroon yatoka sare 3-3 na Serbia na kuwa na matumaini ya kusonga mbele
Nov 28, 2022 09:51Timu ya taifa ya soka ya Cameroon imebakisha hai matumaini ya kutinga katika hatua ya 16 bora ya mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar baada ya kupambana kiume na kutoka sare ya mabao 3-3 na Serbia katika mchuano uliokuwa na ushindani mkubwa.
-
Gazeti la Uhispania: Mechi ya Iran na Marekani ni mpambano mkubwa wa kisiasa
Nov 28, 2022 08:03Gazeti la Marca la Uhispania limeitaja mechi ya soka ya michuano ya Kombe la Dunia kati ya timu ya taifa ya kandanda ya Iran na Marekani kuwa ni mpambano mkubwa wa kisiasa.
-
Shirikisho la Soka la Marekani lasalimu amri mkabala wa Iran
Nov 28, 2022 03:32Shirikisho la Soka la Marekani limelazimika kuondoa bendera ya Iran isiyo na nembo halisi ya Jamhuri ya Kiislamu kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, na kuweka iliyo sahihi, kufuatia malalamiko ya Tehran.
-
Wazayuni: Katika Kombe la Dunia la Qatar, tumejua ni kiasi gani tunachukiza
Nov 27, 2022 23:02Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeashiria matatizo makubwa yanayowakumba waandishi wa habari wa utawala wa Kizayuni katika mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yanayoendelea hivi sasa nchini Qatar na kuandika, katika mashindano haya tumeelewa ni kiasi gani hatupendwi na tunachukiza vibaya katika ulimwengu wa Kiarabu.
-
Kombe la Dunia Qatar, fursa kwa watu wa mataifa ya Kiarabu kuonyesha wanavyouchukia utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 27, 2022 22:59Moja ya matukio ya kuvutia katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar ni kukataa wananchi wa mataifa mbalimbali ya Kiarabu kuhojiwa na vyombo vya habari vya Israel na vilevile kuiunga mkono Palestina dhidi ya utawala huo wa Kizayuni.
-
Takriban watu 900 walisilimu pambizoni mwa Kombe la Dunia, Qatar
Nov 27, 2022 04:21Hadi sasa watu 887 kutoka nchi tofauti wamesilimu kando ya Kombe la Dunia la mwaka huu wa 2022.
-
Kombe la Dunia: Iran yaichapa Wales 2-0 na kuhuisha matumaini ya kusonga mbele
Nov 25, 2022 09:28Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iimeichapa Wales mabao 2 kwa 0 katika fainali za mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar.
-
Mzayuni: Tusijidanganye, Waarabu hawaupendi utawala wa Kizayuni
Nov 25, 2022 03:54Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetuma timu kadhaa za waandishi na wataalamu wa vyombo vya habari kwenye Kombe la Dunia nchini Qatar; Miongoni mwa waandishi hao ni "Ohad Ben Hamo," mwandishi wa habari wa Israel ambaye anajulikana kuwa ni mtaalamu wa masuala ya Waarabu na Wapalestina.
-
Mashabiki wa soka waendelea kuiunga mkono Palestina katika Kombe la Dunia
Nov 24, 2022 04:02Mashabiki wa soka wanaoshuhudia fainalii za mashindano ya kandanda ya Kombe la Dunia nchini Qatar wameendelea kuonyesha himaya na uungaji mkono wao kwa taifa la Palestina.
-
Kombe la Dunia; Vijana wa Kiarabu wakataa kuzungumza na wanahabari wa Israel
Nov 21, 2022 07:55Mashabiki wa soka wa nchi za Kiarabu wamekataa kuzungumza na waandishi wa habari wa mashirika ya utawala haramu wa Israel nchini Qatar, kunakofanyika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu 2022; kuonyesha upinzani wao wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.