Ulimwengu wa Michezo
-
FIFA yamteua mwanamke wa Kiislamu kuwa Katibu Mkuu
May 14, 2016 01:30Kwa mara ya kwanza katika historia ya kandanda duniani, Shirikisho la Soka Duniani FIFA limemteua mwanamke wa Kiafrika na Muislamu kuwa Katibu Mkuu wa taasisi hiyo ya kimataifa ya kusimamia mpira wa miguu.