-
Zainab, Simba Jike Binti wa Simba wa Mwenyezi Mungu
Dec 13, 2021 14:13Tarehe 5 Jamadil Awwal inasadifiana na siku aliyozaliwa Bibi Zainab, simba jike binti wa Simba wa Mwenyezi Mungu.
-
Siku ya Kufutwa Utumwa Duniani
Dec 06, 2021 16:48Kwa jina la Mwenyezi Mungu, aliyemuumba mwanadamu akiwa huru, hakumfanya mtu yeyote kuwa mtumwa wa mwingine na hakuumba kiumbe chochote isipokuwa kwa ajili ya kumwabudu Yeye mwenyewe, ambaye ni Muumba na anayestahiki kuabudiwa.
-
Adabu za kusema na kuzungumza na watu
Dec 06, 2021 13:24Sisi sote tunaelewa kwamba, shakhsia na hali ya ndani ya nafsi ya wanadamu huwa na taathira ya moja kwa moja katika mwenendo wake na jinsi ya kusema na kuzungumza kwake na wanadamu wenzake.
-
Siku ya Kimataifa ya Kujitolea na Ustawi wa Kiuchumi na Kijamii
Dec 06, 2021 12:41Kusaidia na kutoa huduma kwa wanadamu wenzako ni miongoni mwa sifa na vigezo vyenye thamani kubwa vya maisha ya binadamu.
-
Kumbukizi ya Kuzaliwa Imam Hassan Askary (a.s) +SAUTI
Nov 13, 2021 16:19Assalaamu Alaykum Warahmatullah Wabarakaatuh.
-
Kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad SAW
Oct 23, 2021 12:31Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa mbora wa viumbe Mtukufu Mtume Muhammad SAW.
-
Mchango wa Ruqayyah (a.s) Katika Kufikisha Ujumbe wa Ashura Kwa Walimwengu
Sep 12, 2021 02:21Assalaam alaykum wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu 1442 Hijria
Jul 19, 2021 13:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe kwa Waislamu wote duniani kwa mnasaba wa siku hizi za Hija akisema kuwa kuendelea majonzi ya nyoyo za Waislamu wenye hamu kubwa ya kushiriki katika ugeni wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu ni mtihani wa muda na wa kupita.
-
Kumbukizi ya kuuawa shahidi Imam Muhammad Baqir (as)
Jul 18, 2021 05:31Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalum kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyouawa shahidi Imam Muhammad Baqir AS mmoja wa Maimamu watoharifu kutoka katika kizazi cha Bwana Mtume SAW.
-
Mashambulizi ya Israel dhidi ya waandishi na vyombo vya habari Ukanda wa Gaza
May 20, 2021 08:17Zaidi ya Wapalestina 230 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya kikatili ya Israel yaliyoanza yapata siku kumi zilizopita. Zaidi ya 63 kati ya waliouliwa shahidi ni watoto na karibu 40 ni wanawake.