-
Kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa ar Ridha (AS)
Nov 18, 2017 13:11Assalaam Alaykum. Tuko katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar, siku ambayo ni kumbukumbu ya kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa Ridha (as) mmoja kati ya watu wa Nyumba tukufu ya Mtume Mtukufu Muhammad (saw).
-
Katika kumbukumbu ya kufariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW
Nov 17, 2017 05:51Bismillahir Rahmanir Rahim. Mwezi 28 Mfunguo Tano Safar, inasadifiana na siku ya kukumbuka alipofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW. Siku kama ya leo mwaka wa 11 Hijria, Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad al Mustafa, SAW alitangulia mbele ya Haki akiwa ametekeleza vilivyo jukumu alilopewa na Mola wake Mlezi. Bwana Mtume Muhammad SAW ni rehema kwa walimwengu wote na lengo la ujumbe wake alilifupisha kwenye maneno yafuatayo: "Nimetumwa ili kuja kukamilisha maadili bora."
-
Imam Hassan AS nembo ya subira, ushujaa na kutotetereka
Nov 17, 2017 05:45Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Mwezi 28 Mfunguo Tano Safar mwaka wa 50 Hijiria aliuawa shahidi mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mwana wa Bibi Fatimatuz Zahra SA, Imam Hassan al-Mujtaba AS ambaye pia ni Imam wa pili kutoka kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume SAW. Mtukufu huyo aliuawa shahidi kwa kupewa sumu na mkewe aliyejulikana kwa jina la Ja'da bint al Ash'ath ibn Qays al Kindi.
-
Arubaini ya Imam Husain AS 1437 Hijria
Nov 08, 2017 01:57Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Takribani miaka 1376 iliyopita, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Husain bin Ali (AS) akiwa na watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume ambao waliuawa shahidi tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria.
-
Harakati ya Mapambano ya Imam Hussein, Makutano ya Akili na Kuashiki
Nov 07, 2017 08:25Harakati ya mapambano ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) hapo mwaka 61 Hijria dhidi ya dhulma na ufisadi wa Bani Umayya ilijaa hamasa, kujitolea na kusabilia kila kitu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, haki na uadilifu, na kwa sababu hiyo imegusa sana nyoyo za Waislamu na hata wapenda haki na kweli wasio Waislamu na kuzusha vuguvugu na hamasa ya aina yake ndani ya nafsi za wapenzi wa mtukufu huyo.
-
Arubaini; kukamilika Ashura
Nov 06, 2017 06:56Arubaini ni siku ya kufikia ukamilifu. Ukamilifu wa Ashura ni Arubaini; ukamilifu wa matendo, harakati na juhudi zote. Karbala katika Siku ya Arubaini huwa ni kioo cha waliofikia kilele cha umaanawi kiasi kwamba ulegevu, uzembe, udhaifu na kurejea nyuma huwa havina nafasi tena katika hali hiyo.
-
Arubaini ya Imam Hussein AS kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Nov 03, 2017 02:54Assalam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuhu. Karibuni kujiunga nasi katika makala hii inayowajieni kwa munasaba wa siku hizi za Arubaini ya Imam Hussein AS. Makala yetu ya leo itaangazia siri hii kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei. Karibuni kujiunga nami hadi mwisho.
-
Imam Hussein, Nguzo ya Umoja na Mshikamano wa Kiislamu
Oct 31, 2017 07:10Zimebakia siku chache tu hadi siku ya Arubaini ya Imam Hussein (as) na barabara zote za kuelekea katika mji wa Karbala nchini Iraq zimefurika watu kama mto wa maji unaoelekea katika mji mtakatifu wa Karbala.
-
Kashfa kubwa zaidi ya kimaadili yaitikisa tena Hollywood
Oct 25, 2017 08:12Sekta ya filamu ya Hollywood huko Marekani imetengeneza filamu nyingi zinazozungumzia maudhui ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa kingono na vilevile kashfa za ufuska na kadhalika.
-
Kuwakirimu wazee ni wajibu wetu sote
Oct 07, 2017 08:31Tarehe Mosi Oktoba dunia iliadhimisha Siku ya Wazee Duniani.