-
Siku ya Mwanamke Duniani, Nara Tupu au Hakika?
Mar 12, 2017 07:47Tarehe 8 Machi kila mwaka iliainishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwa ni Siku ya Mwanamke Duniani.
-
Tuzo ya filamu ya Oscar 2017 na mafanikio ya filamu ya Forushande (The Salesman)
Mar 05, 2017 05:08Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi cha wiki hii cha Makala ya Wiki ambacho kitatupia jicho sherehe ya tuzo ya filamu ya Oscar nchini Marekani na mafanikio ya filamu ya Forushande (The Salesman) iliyotengenezwa na Muirani. Ni matarajio yetu mtaendelea kuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatuz Zahra SA
Feb 28, 2017 07:56Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra SA binti mtukufu wa Bwana Mtume SAW na mwanamke bora duniani na Akhera, mwanamke ambaye ni kigezo na ruwaza njema.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Mtazamo wa Wanafikra wa Kimagharibi - 4
Feb 15, 2017 02:57Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran daima yamekuwa yakiwashughulisha waandishi na wanahistoria ya siasa ya dunia na kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo kiu ya kujua jinsi mapinduzi hayo yalivyotokea inavyokuwa kubwa zaidi na zaidi.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Mtazamo wa Wanafikra wa Kimagharibi-3
Feb 15, 2017 02:42Moja kati ya matukio makubwa ya dunia ya sasa hususan katika karne moja iliyopita ni Mapinduzi ya Kiislamu ya wananchi wa Iran.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Mtazamo wa Wanafikra wa Kimagharibi-1
Feb 09, 2017 06:31Makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, inatupia jicho mitazamo ya wanafikra wa Kimagharibi kuhusu Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Mtazamo wa Wanafikra wa Kimagharibi-2
Feb 09, 2017 05:12Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalikuwa tukio la aina yake la kisiasa na kijamii na mapinduzi makubwa ya mwisho ya karne ya 20, yakuwa na taathira kubwa katika siasa za kimataifa na matukio ya kipindi hicho, jambo ambalo liliwashangaza wachambuzi wengi wa mambo.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-3
Jan 18, 2017 05:08Sehemu ya leo ya makala hii itatupia jicho ukurasa wa tatu wa maisha Ayatullah Rafsanjani baada ya kumalizika vita vya kulazimishwa hadi alipofariki dunia zaidi ya moja moja iliyopita.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-2
Jan 18, 2017 04:53Makala yetu leo itazungumzia mchango wa Rafsanjani katika kutatua migogoro ya muongo wa kwanza baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-1
Jan 12, 2017 05:40Habari iliyotangazwa saa moja na nusu usiku wa Jumapili tarehe 8 mwezi huu wa Januari kwa wakati wa Tehran iliwatia simanzi na huzuni kubwa mamilioni ya Wairani na wapenzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika pembe mbalimbali za dunia.