-
Jumatano tarehe 18 Aprili, 2018
Apr 17, 2018 23:32Leo ni Jumatano tarehe Mosi Shaaban mwaka 1439 Hijria sawa na tarehe 18 Aprili 2018.
-
Alkhamisi tarehe 15 Machi, 2018
Mar 14, 2018 23:54Leo ni Alkhamisi tarehe 26 Jamadithani 1439 Hijria sawa na tarehe 15 Machi 2018.
-
Marekani na makabiliano ya daima dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 05, 2018 07:37Kipindi hiki kimejaribu kutupia jicho kwa ufupi uadui ambao umekuwa ukiendeshwa na Marekani dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa karibu miaka 40 iliyopita.
-
Umoja kwa mtazamo wa Imam Khomeini na Kiongozi Muadhamu
Dec 04, 2017 13:32Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu na maadhimisho ya Wiki ya Umoja.
-
Arubaini ya Imam Hussein AS kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Nov 03, 2017 02:54Assalam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuhu. Karibuni kujiunga nasi katika makala hii inayowajieni kwa munasaba wa siku hizi za Arubaini ya Imam Hussein AS. Makala yetu ya leo itaangazia siri hii kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei. Karibuni kujiunga nami hadi mwisho.
-
Jumanne 27 Juni, 2017
Jun 26, 2017 22:04Leo ni Jumanne tarehe Pili Shawwal 1438 Hijria, inayosadifiana na tarehe 27 Juni 2017.
-
Jumapili, Juni 4, 2017
Jun 04, 2017 02:15Leo ni Jumapili tarehe Tisa Ramadhani 1438 Hijria sawa na tarehe Nne Juni, 2017 Miladia.
-
Jumanne, 18 Aprili, 2017
Apr 18, 2017 02:28Leo ni Jumanne tarehe 20 Rajab 1438 Hijria sawa na Aprili 18, 2017
-
Jumanne Machi 14, 2017
Mar 14, 2017 04:56Leo ni Jumanne tarehe 15 Jamadithani 1438 Hijria sawa na Machi 14, 2017.
-
Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sehemu ya Kwanza)
Jan 29, 2017 03:37Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika mfululizo huu wa vipindi kadhaa tulivyokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Ni matumaini yetu mtakuwa nasi hadi mwisho wa mfululizo huu ambao tutakuwa nao kila siku hadi yatakapofikia kileleni maadhimisho hayo yaani siku ya Ijumaa ya tarehe 10 Februari.