-
Kumbukumbu ya kuuawa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jan 02, 2024 13:15Hamjambo na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda wa Kiislamu, Haj Qassem Soleimani, fahari na kinara wa Iran katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS). Kamanda huyu shujaa aliuawa shahidi katika shambulio la kikatili na kigaidi la ndege za kivita za Marekani huko Iraq.
-
Ugaidi wa ISIS unavyohudumia maadui wa taifa la Iran
Nov 03, 2022 07:38Jumatano, tarehe 27 Oktoba, damu ya Waislamu waliokuwa wamekwenda kuzuru na kufanya ibada katika Haram tukufu ya mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Ahmad Ibn Musa (as) huko Shiraz kusini mwa Iran, ilimwagwa katika eneo hilo tukufu ambapo gaidi asiye na moyo wa kibinadamu wa kundi la Daesh aliwamiminia risasi ovyo waumini waliokuwa wakitekelea Swala ya Magharibi na kuua 15 Miongoni mwao.
-
Jumapili, 21 Februari, 2021
Feb 20, 2021 23:10Leo ni Jumapili tarehe 9 Rajab 1442 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 21 Februaria 2021 Miladia.
-
Miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran
Feb 12, 2019 06:36Assalam Alaykum warhmatullahi wabarakatuh hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi hiki maaluimu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 40 wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 40 + Sauti
Jun 16, 2018 11:44Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 40 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 35 na sauti
Jun 03, 2018 10:29Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 35 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 26 na sauti
Feb 18, 2018 12:36Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 26 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
"Fire and Fury", kitabu kilichowasha moto wa hasira za Trump
Feb 03, 2018 15:04Mwanzoni mwa mwezi wa Januari Michael Wolf, mwandishi wa Kimarekani alianza kusambaza kitabu ambacho kimeshika nafasi ya kwanza katika orodha ya vitabu vinavyouzwa kwa wingi zaidi katika mtandao wa Amazon.
-
Trump na kupamba moto tena ubaguzi nchini Marekani
Jan 20, 2018 07:42Rais Donald Trump wa Marekani siku chache zilizopita aliendeleza siasa za kuwapiga vita wahajiri na wageni nchini humo kwa kutoa matamshi machafu yaliyowakasirisha walimwengu na kuonesha tena dhati ya kibaguzi ya kiongozi huyo.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 23 na sauti
Jan 11, 2018 07:11Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 23 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.