-
Alkhamisi tarehe 12 Agosti 2021
Aug 12, 2021 02:24Leo ni tarehe Tatu Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 12 mwaka 2021.
-
Jumapili tarehe 30 Agosti mwaka 2020
Aug 29, 2020 23:51Leo ni Jumapili tarehe 10 Muharram mwaka 1442 Hijria sawa na Agosti 30 mwaka 2020.
-
Jumanne, tarehe 25 Agosti, mwaka 2020
Aug 25, 2020 03:20Leo ni Jumanne tarehe 5 Muharram 1442 Hijria sawa na Agosti 25 mwaka 2020.
-
Kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Bibi Zainab AS
Dec 31, 2019 07:12Bibi Zainab (sa) alijipamba kwa sifa na fadhila nyingi nzuri na za kupigiwa mfano kadiri kwamba sifa hizo bora zilimfanya kuwa bibi mwema aliyepaswa kuigwa na watu wengine. Alikuwa na tabia, fadhila na maadili mema mengi yaliyofanya kuwa na sifa za kipekee miongoni mwa watu na jamii aliyoishi ndani yake.
-
Mahojiano maalumu ya Salum Bendera na baadhi ya mazuwwar katika Mashaya (matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein as)
Oct 20, 2019 08:08Katika miaka ya hivi karibuni Mashaya (matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein as) yamechukua mkondo mpana zaidi ambapo mamilioni ya Waislamu na wasiokuwa Waislamu hushiriki katika kumbukumbu hii.
-
Historia ya Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Oct 20, 2019 07:33Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Radio Tehran, Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hususan huko nyumbani Afrika Mashariki.
-
Jumatatu, 09 Septemba, 2019
Sep 09, 2019 00:27Leo ni Jumatatu tarehe 9 Muharram 1441 Hijria sawa na Septemba 9 mwaka 2019.
-
Ijumaa, tarehe 6, Septemba 2019
Sep 06, 2019 02:26Leo ni Ijumaa tarehe 6 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria sawa na Septemba 6 mwaka 2019.
-
Jumamosi, 02, Machi, 2019
Mar 02, 2019 02:50Leo ni Jumamosi tarehe 24 Mfunguo Tisa Jamadithani 1440 Hijria sawa na tarehe Pili Machi 2019 Miladia.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (6) + Sauti
Oct 07, 2018 11:51Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran, na karibuni kusikiliza sehemu ya sita ya kipindi hiki cha Maswai Kuhusu Tukio la Ashura.