• Jumanne tarehe 3 Oktoba 2023

    Jumanne tarehe 3 Oktoba 2023

    Oct 02, 2023 23:12

    Leo ni Jumanne tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1445 Hijria sawa na Oktoba 3 mwaka 2023.

  • Alkhamisi, Septemba 14, 2023

    Alkhamisi, Septemba 14, 2023

    Sep 13, 2023 22:55

    Leo ni Alkhamisi tarehe 28 Mfunguo Tano Safar 1445 Hijria, mwafaka na tarehe 14 Septemba 2023 Milaadia.

  • Usikichome, Leta Mfano Wake Kama Unaweza!

    Usikichome, Leta Mfano Wake Kama Unaweza!

    Aug 17, 2023 03:43

    Siku moja miaka mingi sana iliyopita, yaani miaka elfu mbili kabla ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as), watu wa Namrud (Nimrodi) walikuwa wamerejea makwao kutoka kwenye shughuli ya kidini.

  • Alkhamisi, tarehe 13 Julai, 2023

    Alkhamisi, tarehe 13 Julai, 2023

    Jul 12, 2023 22:45

    Leo ni Alkhamisi tarehe 24 Dhulhija 1444 Hijria sawa na Julai 13, mwaka 2023.

  • Jumatano, tarehe 14 Juni, 2023

    Jumatano, tarehe 14 Juni, 2023

    Jun 13, 2023 23:07

    Leo ni Jumatano tarehe 25 Dhilqaada 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 14 Juni mwaka 2023.

  • Jumamosi tarehe 18 Februari 2023 Miladia

    Jumamosi tarehe 18 Februari 2023 Miladia

    Feb 17, 2023 23:07

    Leo ni Jumamosi tarehe 27 Rajab 1444 Hijria sawa na Februari 18 mwaka 2023 Miladia.

  • Maalumu Siku ya Kufa Shahidi Hadhrat Zahra al Batul (as)

    Maalumu Siku ya Kufa Shahidi Hadhrat Zahra al Batul (as)

    Dec 08, 2022 05:36

    Tarehe 13 Jumadil-Awwal, ni siku ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi binti wa Mtume wetu, Muhammad al Mustafa (saw), Bibi Fatimatu Zahra (as) na siku ya maombolezo ya Waislamu hususan wapenzi wa Ahlul Bait (as).

  • Akhlaqi Katika Uislamu (46)

    Akhlaqi Katika Uislamu (46)

    Nov 28, 2022 01:28

    Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 46 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki ambacho kwa leo kitaendelea kuzungumzia na kuchambua "Akhlaqi za Kisiasa" katika Uislamu. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.

  • Imam Jaafar Sadiq AS alisisitiza umoja wa Waislamu

    Imam Jaafar Sadiq AS alisisitiza umoja wa Waislamu

    Oct 13, 2022 13:03

    Imam Ja'far Swadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW alizaliwa mwaka 83 Hijria katika mji mtakatifu wa Madina na kulelewa na baba yake mtukufu Imam Muhammad Baqir AS pamoja na mama yake mtoharifu.

  • Mtume Muhammad SAW alileta uhai mpya

    Mtume Muhammad SAW alileta uhai mpya

    Oct 13, 2022 13:01

    Waislamu duniani wanasherehekea Maulidi na kukumbuka tukio la kuzaliwa Mbora wa Walimwengu, Muhammad Mwaminifu SAW. Ni fusa muafaka ya kutafakari kuhusu umoja wa Waislamu duniani.