-
Alkhamisi, tarehe 25 Julai, 2024
Jul 25, 2024 04:35Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hjria sawa na Julai 25 mwaka 2024.
-
Jumapili, 14 Julai, 2024
Jul 14, 2024 03:49Leo ni Jumapili 8 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria mwafaka na 14 Julai 2024 Miladia.
-
Alkhamisi, tarehe 11 Julai, 2024
Jul 11, 2024 02:33leo ni Alkhamisi tarehe 05 Muharram 1446 Hijria sawa na Julai 11 mwaka 2024.
-
Jumapili, 7 Julai, 2024
Jul 07, 2024 02:20Leo ni Jumapili tarehe Mosi Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria mwafaka na tarehe 7 Julai 2024.
-
Leo katika Historia, Jumatano 19 Julai
Jul 19, 2023 02:38Jumatano tarehe Mosi Muharram 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Julai mwaka 2023.
-
Jumanne tarehe 10 Agosti 2021
Aug 10, 2021 02:26Leo ni tarehe Mosi Mfunguo Nne Muharram mwaka 1443 Hijria sawa na Agosti 10 mwaka 2021.
-
Upeo wa kimataifa wa Arubaini ya Imam Hussein (as) + Video
Oct 14, 2019 14:20Arubaini ya Imam Hussein (as) imekuwa ni ya kimataifa na itaendelea kupanuka zaidi katika upeo huo. Hii ni damu ya Hussein bin Ali (as) ambayo licha ya kupita miaka 1400, ingali inachemka na kuendelea kuwa mpya na hai zaidi siku baada ya nyingine. Huu ndio ujumbe ule ule wa Siku ya Ashura uliopazwa kupitia koo za Aba Abdillah al-Hussein (as) na Bibi Zainab (sa) katika kipindi kigumu zaidi cha upweke wao. Pamoja na hayo, hii leo ujumbe huo umeenea na kufika katika kila pembe ya dunia.
-
Jumamosi, Septemba 22, 2018
Sep 22, 2018 03:03Leo ni Jumamosi tarehe 12 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria inayosadifiana na tarehe 22 Septemba 2018 Miladia.