-
Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (6)
Jun 07, 2016 08:24Assalamu Aalaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo na karibu tena kuwa nasi katika makala ya Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Mola Muumba. Katika kipindi cha wiki iliyopita tulianza kuzungumzia hakika ya mauti na kifo na ajal au kifo ambacho wakati wake hauakhirishwi au kubadilika na kile ambacho yumkini wakati na ajal yake ikabadilika au ajal muallaq. Kipindi chetu leo kitakamilisha maudhui hiyo.
-
Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (5)
Jun 07, 2016 07:59Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi ni wakati mwingine tena wa kuwa nanyi katika kipindi hiki cha ufufuo na safari ya kurejea kwa Allah. Ni matarajio yetu mtaendelea kuwa nasi hadi mwisho wa kipindi hiki ambapo leo hii kitazungumzia hakika ya kifo na umauti na kupelekwa roho katika ulimwengu mwingine na ajal au kifo ambacho wakati wake haubadilishwi na kile ambacho wanawakti wake unaweza kubadilika. Karibuni.
-
Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (4)
May 23, 2016 09:35Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya tatu ya kipindi hiki Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah, kizungumzia athari chanya za imani ya ufufuo katika maisha ya mwanadamu. Ni matarajio yetu kwamba mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (3)
May 23, 2016 09:32Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya tatu ya kipindi hiki cha Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah, ambacho leo kitakamilisha maudhui na kipindi kilichopita. Matarajio yetu kwamba mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi hiki. Karibuni.
-
Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (2)
May 08, 2016 10:13Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi katika kipindi kingine cha ufufuo na safari ya kurejea mja kwa Allah. Katika kipindi chetu kilichopita tulielezea maisha ya baada ya kifo na kwamba watu wengi ndani ya nyoyo zao wana hamu ya kuishi milele na kwamba hamu hii ya kimaumbile inapaswa kushibishwa kwa njia sahihi.
-
Ufufuo na Safari ya Kurejea kwa Allah (1)
May 08, 2016 09:49Hatima ya mja baada ya kifo, ni miongoni mwa masuala yanayomtia wahka na wasiwasi mkubwa mwanadamu. Je, maisha ya mwanadamu ni hayahaya tuliyonayo hapa duniani yanayoanzia kipindi anapozaliwa hadi anapopatwa na mauti, na hakuna maisha mengine baada ya kufariki dunia? Na je, kuletwa kwetu duniani na kisha kufishwa, kumefanyika kwa malengo maalumu?