-
Kilele cha maadhimisho ya miaka 41 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 10, 2020 08:42Assalamu Alaykum mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio mfululizo huu wa vipindi maalumu tulivyokuandalia kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Mafanikio ya Iran katika uga wa sayansi na teknolojia baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 09, 2020 08:07Iran wiki hii inaadhimisha mwaka wa 41 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na katika kipindi cha miongo minne iliyopita, kati ya mafanikio makubwa ambayo yameweza kupatikana ni ustawi wa kasi katika uga wa sayansi na teknolojia.
-
Mapinduzi ya Kiislamu, mlinganiaji wa uadilifu na maendeleo
Feb 08, 2020 11:08Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Tunakutana tena katika mfululizo wa vipindi hivi maalumu vya Alfajiri Kumi ambacho ni kipindi cha tangu siku aliporejea Imam Khomeini kutoka uhamishoni hadi kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini Iran
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kufuata kigezo cha Qur'ani katika kupambana na Uistikbari
Feb 04, 2020 04:44Assalamu Alaykum mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio mfululizo mwengine wa vipindi maalumu tulivyokuandalia kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutazungumzia namna mapinduzi hayo yanavyofuata kigezo cha mafundisho ya Qur'ani kwa ajili ya kupambana na Uistikbari duniani. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Jumanne tarehe 4 Februari 2020
Feb 04, 2020 02:42Leo ni Jumanne tarehe 9 Jamadithani 1441 Hijria sawa na Februari 4 mwaka 2020
-
Rouhani: Muamala wa Karne ni muamala wa fedheha na chuki
Feb 02, 2020 07:38Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja 'Muamala wa Karne' kama mpango wa Marekani wa kufedhehesha, aibu na wenye kuchukiza.
-
Bahman 12; Kuanza maadhimisho ya Alfajiri Kumi; dhihirisho la umoja na mshikamano wa taifa la Iran
Feb 01, 2020 11:17Leo Jumamosi tarehe 12 mwezi Bahman sawa na Februari Mosi ni siku ya kuanza alfajiri kumi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Maadhimisho ya "Alfajiri Kumi" ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaanza rasmi nchini Iran
Feb 01, 2020 08:14Leo Jumamosi, tarehe 12 Bahman mwaka 1398 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe Mosi Februari 2020 Miladia yameanza rasmi maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Imani na kumtegemea Mwenyezi Mungu; siri ya ushindi na kudumu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 01, 2020 06:55Ni matumaini kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi, ambacho ni kipindi cha tangu kurejea Imam Khomeini kutoka uhamishoni hadi kupatikana ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Jumatano tarehe 22 Januari 2020
Jan 22, 2020 01:02Leo ni Jumatano tarehe 26 Jamadil Awwal 1441 Hijria sawa na Januari 22 mwaka 2020.