-
Rais wa Iran: Waislamu wanapaswa kuwa na mchango athirifu katika kukabiliana na watendajinai duniani
Apr 01, 2025 15:18Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na viongozi wa nchi mbalimbali, akiwapongeza kwa mnasaba wa kusherehekea sikukuu ya Idul-Fitr. Amesisitiza ulazima wa kuimarishwa zaidi umoja na uhusiano wa kindugu baina ya nchi za Waislamu na ulazima wa kuzima njama za maadui.
-
Rais wa Iran: Mwelekeo wa mazungumzo unategemea mwenendo wa Wamarekani
Mar 31, 2025 02:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran haijawahi kukwepa mazungumzo, lakini ni aina ya mwenendo wa Wamarekani ndio unaoamua ikiwa mazungumzo yataendelea au la.
-
Jumatatu, tarehe 31 machi, 2025
Mar 31, 2025 02:38Leo ni tarehe Mosi Shawwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 31 Machi 2025.
-
Ujumbe wa HAMAS wa Sikukuu ya Idul Fitr
Mar 30, 2025 11:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa ujumbe wa Sikukuu ya Idul Fitr kwa kuyataka mataifa ya Kiislamu na Kiarabu kuongeza juhudi na uungaji mkono kwa Wapalestina ili kukomesha jinai za Israel na kuondolewa mzingiro kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Baadhi ya Waislamu waswali Iddi leo, wengine kuadhimisha sikukuu hii kesho
Mar 30, 2025 06:12Baadhi ya Waislamu katika maeneo tofauti duniani wameswali Swala ya Iddul-Fitri leo Jumapili, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa siku 29; huku wengine wakitazamiwa kuadhimisha sherehe hizo kesho Jumatatu.
-
Mtaalamu: Badala ya kusimamia haki, ICC inatumikia madola yenye nguvu
Mar 30, 2025 02:37Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imepoteza uhalali wake kwa kutumikia maslahi ya kisiasa ya madola fulani. Hayo yameelezwa na Ali Hammoud, mtaalamu wa mahusiano ya kimataifa wa Kituo cha Mafunzo ya Kidiplomasia na Kimkakati (CEDS) chenye makao yake mjini Paris, Ufaransa.
-
Ramadhani, Dhifa ya Mwenyezi Mungu (9)
Mar 17, 2025 06:21Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kama mvua laini ya msimu wa kuchipua inayonyeshea jangwa kavu na lenye kiu. Hebu na tuyaloweshe majangwa ya roho zetu kwa mvua hii yenye uhai.
-
Waislamu na Wakristo Burkina Faso wala futari pamoja kuimarisha umoja
Mar 16, 2025 11:32Mamia ya Waislamu na Wakristo huko Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso, wameshiriki pamoja dhifa ya futari katika medani ya Place De La Nation, kuadhimisha mwaka wa tatu wa utamaduni huo wa kuhamasisha mshikamano wa kijamii, wakati huu ambapo nchi hiyo inakabiliwa na ghasia za itikadi kali.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (5)
Mar 13, 2025 07:24Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza sehemu ya tano ya kipindi hiki maalumu tulichokutayarishieni kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhni.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu-4
Mar 12, 2025 09:28Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur´ani, kuwa mwongozo kwa watu, na hoja zilizowazi za uongofu na upambanuzi. Basi atayekuwa katika mji (wake) katika mwezi huu aufunge....