-
Wazayuni waushambulia tena Msikiti wa al-Aqsa
Jun 15, 2023 11:31Askari wa utawala haramu wa Israel na walowezi wa Kizayuni wameshambulia tena Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa.
-
Jumbe za Kiislamu za Quds: Msikiti wa al Aqsa ni mstari wetu mwekundu
Jun 13, 2023 04:40Ujumbe wa ngazi ya juu wa Kiislamu na jopo la maulamaa wa Baitul Muqaddas wametahadharisha kuhusu njama za utawala wa Kizayuni za kutaka kubadili mazingira ya msikiti wa al Aqsa na kusisitiza kuwa eneo hilo takatifu ni mstari wao mwekundu.
-
Chama cha Jordan: Njama mpya za Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa ni kutangaza vipya
Jun 11, 2023 07:57Chama cha Islamic Action Front cha Jordan kimetangaza kuwa, njama mpya za utawala wa muda wa Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa na hujuma zake dhidi ya eneo hilo takatifu ni kutangaza vita.
-
Lobi mpya kuundwa katika bunge la Wazayuni kwa lengo la kuuhodhi msikiti wa Al-Aqsa
May 30, 2023 02:30Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel vimeripoti habari ya kuundwa "lobi mpya" ya Wazayuni katika Knesset (Bunge) la utawala huo ili kuudhibiti Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Baada ya miaka 56 askari wa Kizayuni azirejesha funguo alizoiba za Msikiti wa Al Aqsa
May 21, 2023 02:15Mwanajeshi wa zamani wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amezirejesha funguo za Babul-Magharibah, moja ya milango ya ukuta wa magharibi wa Msikiti wa Al-Aqsa, tangu alipoziiba miaka 56 iliyopita katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na akaeleza: "hivi ndivyo Israel inapaswa kuwafanyia Wapalestina".
-
OIC na nchi Kiislamu zalaani hujuma ya Wazayuni dhidi ya al Aqsa
May 19, 2023 10:28Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na nchi za Kiislamu zimelaani hujuma iliyofanywa na Wazayuni wakiongozwa na mawaziri na wabunge kadhaa wa utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika kile kilichopewa jina la "siku ya bendera".
-
Mawaziri wa utawala wa Kizayuni watoa wito wa kushambuliwa Msikiti wa Al-Aqsa
May 18, 2023 01:08Vyanzo vya habari vimeripoti kuwa baadhi ya mawaziri na wajumbe wa bunge la utawala haramu wa Israel, Knesset, wametoa wito wa kushambuliwa Msikiti wa Al-Aqsa katika siku ya maandamano ya bendera.
-
Wanajeshi wa Israel washambulia Hospitali Bait Laham na Msikiti wa Al-Aqsa
May 01, 2023 07:23Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wameshambulia hospitali moja mjini Bait Laham mapema leo Jumatatu na kurusha mabomu ya kutoa machozi ndani ya hospitali hiyo.
-
OIC yaalani vikali hujuma za Wazayuni katika Msikiti wa al Aqsa
Apr 24, 2023 12:28Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali mashambulizi ya Wazayuni katika eneo la Babul Rahma katika Msikiti Mtakatifu wa al Aqsa.
-
Nasser Kanaani Chafi: Ukombozi wa Quds tukufu umekaribia
Apr 23, 2023 01:31Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ukombozi wa mji mtakatifu wa Quds umekaribia na kwamba, muda si mrefu eneo hilo takatifu litakombolewa na kuondoka katika udhibiti wa utawala ghasibu wa Israel.