-
Waislamu Ghana wafanya matembezi ya amani kuadhimisha Arubaini
Sep 10, 2023 10:49Maelfu ya Waislamu ya madhehebu ya Shia nchini Ghana wamefanya matembezi ya amani ya kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein (AS).
-
Jumbe za kisiasa za matembezi ya makumi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husseini (as)
Sep 07, 2023 06:29Jana tarehe 20 Swafar 1445 Hijiria, sawa na tarehe 6 Septemba 2023 Miladia ilisadifiana na Arubaini ya Imam Hussein (as) mjukuu wa Mtume Mtukufu (saw) aliyeuawa kinyama na maadui wa Uislamu katika jangwa la Karbalaa, akiwa na familia pamoja na wafuasi wake wachache waaminifu. Vile vile ilikuwa siku ya mwisho ya matembezi ya makumi ya mamilioni ya watu katika kuadhimisha Arubaini ya mtukufu huyo (as).
-
Waislamu Nigeria waadhimisha Arubaini ya Imam Hussein AS
Sep 06, 2023 10:37Waislamu ya madhehebu ya Shia nchini Nigeria wamefanya marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein (AS).
-
Jumatano, Septemba 6, 2023
Sep 06, 2023 02:41Leo ni Jumatano tarehe 20 Mfunguo Tano Safar 1445 Hijria sawa na Septemba 6 mwaka 2022 Milaadia.
-
Gavana wa Karbala: Mazuwari wa Arubaini mwaka huu kupindukia milioni 30
Sep 05, 2023 12:18Gavana wa jiji la Karbala nchini Iraq amesema mji huo mtakatifu utapokea wafanyaziara zaidi ya milioni 30 katika Arubaini ya Imam Hussein AS mwaka huu.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Uanachama wa Iran katika BRICS utavunja sera za upande mmoja
Aug 25, 2023 12:16Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema: Uanachama wa Iran katika kundi la "BRICS" una ufanisi kubwa katika kuvunja za kibeberu za maamuzi ya upande mmoja na pua kuvunja ubabe Marekani katika uga wa kiuchumi.
-
Kanaani: Arubaini ya mwaka huu imeimarisha uhusiano wa Iran na Iraq
Sep 18, 2022 08:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Arubaini ya Imam Hussein (AS) ya mwaka huu imeimarisha uhusiano wa kidugu na kirafiki wa Iran na Iraq.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Matembezi ya Arubaini ni ishara ya irada ya Mwenyezi Mungu kuinua juu bendera ya Uislamu
Sep 17, 2022 12:00Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaja tukio la kimiujiza la maandamano na matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (as) kuwa ni ishara ya irada ya Mwenyezi Mungu ya kunyanyua juu bendera ya Uislamu ya Ahlul Bayt.
-
Jumamosi, 17 Septemba, 2022
Sep 17, 2022 04:23Leo ni Jumamosi tarehe 20 Mfunguo Tano Safar 1444 Hijria sawa na tarehe 17 Septemba 2022.
-
Mwanachuoni Msuni wa Iraq: Tunaona fakhari kuwa wenyeji wa mazuwari wa Imam Husain
Sep 17, 2022 01:25Mkuu wa Jumuiya ya Ahlu Sunna Waljamaa ya Iraq amesema kuwa, hivi sasa Waislamu wa Iraq wanaonesha kivitendo mfano bora kabisa wa ukarimu kwa kuwahudumia kwa moyo mmoja wafanyaziara wa Imam Husain AS kutoka kila kona ya dunia.