-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa: Mkusanyiko wa Arubaini hauna mfano wake duniani
Sep 02, 2022 12:11Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran hii leo amesema, Arubaini ya Imam Hussein (AS) ndio mkusanyiko mkubwa zaidi wa wanadamu, na ambao ni wa aina yake na usio na mfano wake duniani.
-
Sheikh Zakzaky: Matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yataendelea Nigeria
Sep 30, 2021 06:28Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesisitiza kuwa, matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yataendelea kufanyika nchini Nigeria hadi atakapodhihiri Imam wa Zama, Imam Mahdi AS.
-
Al Kadhimi: Arubaini ya Imam Hussein ni kilele cha upinzani dhidi ya ukiukaji wa haki za binadamu
Sep 28, 2021 03:11Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa shughuli ya siku ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) ni kilele cha upinzani wa wanadamu dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Harakati ya kueleza haki inazima hujuma na propaganda za adui
Sep 27, 2021 12:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia hujuma za kipropaganda zinazofanywa na maadui dhidi ya taifa la Iran kwa ajili ya kushawishi fikra za watu kwa kutumia mbinu na nyenzo mbalimbali na kusema harakati za kutoa ufafanuzi na kueleza haki zinazima hujuma hizo za kipropaganda.
-
Jumatatu, Septemba 27, 2021
Sep 27, 2021 02:20Leo ni Jumatatu tarehe 20 Mfunguo Tano Safar 1443 Hijria sawa na tarehe 27 Septemba 2021 Milaadia.
-
Msafara wa "Ujumbe wa Arubaini" wafika Italia
Oct 09, 2020 07:48Msafara kwa jina la Ujumbe wa Arubaini umewasili katika mji wa Milan nchini Italia ukiwa katika safari yake barani Ulaya.
-
Kwa nini wanaiogopa Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS?
Oct 08, 2020 11:53Siku kama ya leo miaka 1381 iliyopita kwa mujibu wa kalenda ya Kiislamu, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW Imam Hussein bin Ali AS na watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume ambao waliuawa shahidi tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria.
-
Milioni ya Wairaq wafanya ziara ya Arubaini kuwawakisha Waislamu wenzao duniani
Oct 08, 2020 07:32Milioni ya Wairaq wamewasili katika Haram ya Imam Husain AS huko Karbala kuwawakilisha mamilioni ya wapenzi wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW ambao mwaka huu wameshindwa kwenda Iraq kushiriki kumbukumbu hizo kutokana na corona.
-
Leo ni siku ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husain AS
Oct 08, 2020 02:38Leo Alkhamisi inasadifiana na mwezi 20 Mfunguo Tano Safar 1442 Hijria, siku ya kumbukumbu ya 40 ya mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Imam Husain AS ambaye pia ni Imam wa Tatu wa Waislamu wa Kishia. Imam Husain AS na wafuasi wake 72 waliuliwa kidhulma na kikatili katika jangwa la Karbala la Iraq ya leo kwenye mwaka wa 61 Hijria.
-
Sheikh Maulid Hussein Kundya na kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husain AS - Sauti
Oct 21, 2019 12:11Mwaka huu kama ilivyo miaka mingine yote, kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain AS zimefanyika kwa kufana mno katika kona zote za dunia. Hapa tumekuwekea mawaidha ya Sheikh Maulid Hussein Kundya wa Arusha Tanzania kuhusu masaibu wa Imam Husain AS huko Karbala katika mwaka wa 61 Hijria.