-
Zaidi ya wafanyaziara milioni 17 wameshiriki katika Arubaini ya Imam Hussein (as) ya mwaka huu
Oct 21, 2019 02:39Gavana wa mkoa wa Karbala nchini Iraq ametangaza kuwa, idadi ya mazuwari walioshiriki kwenye maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu imepindukia milioni 17.
-
Historia ya Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Oct 20, 2019 07:33Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Radio Tehran, Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hususan huko nyumbani Afrika Mashariki.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Ziara ya Arubaini, imebeba ujumbe wa kupinga uharibifu na ufisadi
Oct 20, 2019 02:35Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kwamba, mapinduzi ya Imam Hussein (as) ni mapinduzi dhidi ya kukengeuka na kufanya dhulma na kwamba ziara ya Arubaini ya mjukuu huyo wa Matume (saw) imebeba ujumbe wa kupinga uharibifu na ufisadi.
-
Kiongozi Muadhamu: Kusimama kidete katika njia iliyonyooka, ni kwa maslahi ya taifa na dunia
Oct 19, 2019 13:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kusimama kidete katika njia iliyonyooka na ya haki, ni kwa maslahi ya taifa la Iran na dunia yote kwa ujumla.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Maadui wamejawa hofu kwa kushuhudia matembezi ya Arubaini
Oct 19, 2019 13:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesisitiza kuwa, uwepo wa mamilioni ya watu mjini Karbala ni jambo lisilo na mfano katika historia na kwamba Marekani, utawala haramu wa Kizayuni, mabeberu na madhalimu wa dunia wanahisi hofu kubwa kwa kushuhudia matembezi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
Polisi Nigeria yatumia risasi na mabomu kuvunja Arubaini ya Imam Hussein AS
Oct 19, 2019 13:20Polisi nchini Nigeria imetumia risasi hai na mabomu ya gesi ya kutoa machozi kuvunja matembezi ya amani ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakishiriki maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu Abuja.
-
Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS, mjumuiko kwa ajili ya uhuru na kuwatetea waliodhulumiwa
Oct 19, 2019 12:07Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ametembelea vibanda vya kuwahudumia wafanyaziara (Mawkib) katika kituo cha mpakani cha Chazabeh kusini magharibi mwa Iran na akizugumza na waandishi habari amesema, matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni mhimili wa kutaka uhuru na kutetea watu wa Palestina na pia ni mjumuiko dhidi ya Uzayuni.
-
Matembezi makubwa ya "Waliosalia Nyuma" katika Arubaini ya Imam Hussein (as) yafanyika mjini Tehran
Oct 19, 2019 08:03Matembezi ya "Waliosalia Nyuma" katika Arubaini ya Imam Hussein (as) yamefanyika katika mwendo wa kilomita 17 kuanzia kwenye medani ya Imam Hussein (as) hapa mjini Tehran kuelekea haram ya mtukufu Abdul-Adhim (as) iliyoko mjini Rey kusini mwa Tehran kwa kuhudhuriwa na wapenzi na maashiki wa Imam Hussein (as).
-
Jumamosi, 19 Oktoba, 2019
Oct 19, 2019 02:36Leo ni Jumamosi tarehe 20 Mfunguo Tano Safar 1441 Hijria mwafaka na tarehe 19 Oktoba 2019 Miladia.
-
Mamilioni wakusanyika Karbala katika Arubaini ya Imam Hussein (as)
Oct 18, 2019 16:50Mamilioni ya Waislamu wanakusanyika katika mji mtakatifu wa Karbaka nchini Iraq kwa ajili ya kushiriki katika shughuli ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as).