-
Tume ya Uchaguzi DRC kutangaza ratiba ya uchaguzi
Sep 01, 2017 10:54Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Corneille Nangaa amesema ratiba ya Uchaguzi mkuu itatangazwa hivi karibuni.
-
Mahakama ya Juu Kenya yatengua matokeo ya uchaguzi wa Rais
Sep 01, 2017 05:00Mahakama ya Juu ya Kenya imetengua matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi uliopita nchini humo na kumpa ushindi Rais wa sasa wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta.
-
Upinzani Angola waitaka tume ya uchaguzi kufafanua matokeo yake
Aug 27, 2017 03:09Kinara wa chama kikuu cha upinzani nchini Angola ameitaka tume ya uchaguzi nchini humo kutoa ufafanuzi na maelezo ya kina kuhusu namna ilivyokipa ushindi wa kishindo chama tawala nchini humo.
-
Upinzani Kenya wawasilisha mashtaka mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu
Aug 19, 2017 11:27Muungano wa upinzani nchini Kenya wa National Super Alliance (NASA) umewasilisha kesi ya kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 8 Agosti na kufuatiwa na malalamiko na machafuko.
-
Odinga kwenda Mahakama ya Juu Kenya kupinga matokeo ya urais
Aug 16, 2017 11:18Kinara wa muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya, Raila Odinga hatimaye amepasua mbarika na kusema kuwa ataenda katika Mahakama ya Juu ya nchi kupinga matokeo ya kura za urais yaliyompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee.
-
Polisi yashutumiwa kwa kuvamia ofisi za asasi zisizo za serikali Kenya
Aug 16, 2017 09:57Mashirika ya kiraia na yale ya kutetea haki za binadamu yamekosoa vikali hatua ya vyombo vya dola ya kuvamia na kutaka kufunga kwa nguvu ofisi ya asasi isizo ya serikali katika mji mkuu Nairobi.
-
Odinga: Kesho Jumatatu msiende kazini, Jumanne nitatoa tangazo muhimu
Aug 13, 2017 09:18Kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amewataka wafuasi wake wasiende kazini kesho Jumatatu na wajiandae kupokea kile alichokitaja kuwa maelekezo na tangazo zito litakalotikisa taifa siku ya Jumanne.
-
Ushindi wa Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa Rais nchini Kenya
Aug 12, 2017 03:54Hatimaye na baada ya mjadala mkubwa kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 8 Agosti, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) jana usiku ilimtangaza Uhuru Kenyatta kuwa ndiye aliyeibuka na ushindi wa kiti cha rais wa nchi hiyo.
-
NASA: Tutakubali matokeo ya uchaguzi kwa masharti
Aug 11, 2017 12:38Muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya umetangaza kuwa utakubali matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika juzi kote nchini humo iwapo utaruhusiwa kutazama data za asili katika sava za kumputa za Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya nchi hiyo (IEBC).
-
EU yazitaka pande zote kuheshimu sheria nchini Kenya
Aug 11, 2017 11:23Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa unafuatilia kwa makini mwenendo wa uchaguzi wa hivi karibuni huko Kenya.